Chongolo: Msisitizo wa chama cha mapinduzi(CCM) katika maeneo muhimu kwenye mpango wa maendeleo na bajeti za Serikali kwa mwaka wa fedha 2021/2022

Chogolo siku nyingine njoo na point za msingi tu.

Hizo story ulizoleta leo zinakufanya ukose mvuto wa kisiasa mapema sana.

Najua umepewa jukumu kubwa linalo hitaji ubunifu sana.
 
Endelea kutupa updates ya kinachojiri!
Amesisitiza kuwa Chama Cha Mapinduzi kitafanya siasa safi zenye mashiko na upeo na kubeba mustakabali mwema wa taifa katika kuwaunganisha watanzania bila kujali itikadi za vyama vyao.
 
Nimefuatilia mkutano wa Katibu Mkuu Chongolo, niseme kwamba hii ndiyo maana ya UTUKUFU WA CHAMA CCM. Ameongea mambo yanayohusu maisha ya watu na uchumi wa nchi. 1. Ameonya wanaojaribu kuchezea suala nyeti la umeme. Ni jana na juzi nchi ilitikiswa. Hapa Chama lazima kikemee kwa nguvu kama hivi. Hongera Katibu Mkuu.

2. Amezungumzia miradi mikubwa ya kimkakati. Hii ndiyo maana ya Chama kusimamia Serikali. Miradi hii kama bwawa la umeme la Mwalimu Nyerere itaongeza kasi na kuboresha mazingira ya uchumi wa viwanda, uwekezaji na kupunguza gharama za ununuzi wa umeme kwa wananchi. Tumesikia wawekezaji wanakimbia Kenya kwenda Ethiopia, kisa gharama za umeme.

3. Ameongelea kilimo. Kilimo chetu kinahitaji miundombinu ya maana ikiwemo ya umwagiliaji, ili kisitegemee vuli au masika ambayo haitabariki kutokana na mabadiliko ya Tabianchi. Tusipokuza kilimo cha kisasa vita ya umasikini haitakwisha. Mamilioni ya Watanzania wako kwenye kilimo. Ila ni kama kilimo cha mkono kwenda kinywani.

Haya ndiyo mambo ya kujadili. Mvuto ni hoja nzuri kama zilizotolewa na Katibu Mkuu Chongolo. Hakuna matusi wala kejeli. Tumpongeze kwa mwanzo mzuri kabisa. Tunahitaji descent politics!
 
Katibu mkuu amesahau kwamba SGR Dar hadi Morogoro ilitakiwa iwe imeanza kazi?

Na huko kwingine hali ipoje?
 
Nimefuatilia mkutano wa Katibu Mkuu Chongolo, niseme kwamba hii ndiyo maana ya UTUKUFU WA CHAMA CCM. Ameongea mambo yanayohusu maisha ya watu na uchumi wa nchi. 1. Ameonya wanaojaribu kuchezea suala nyeti la umeme. Ni jana na juzi nchi ilitikiswa. Hapa Chama lazima kikemee kwa nguvu kama hivi. Hongera Katibu Mkuu.

2. Amezungumzia miradi mikubwa ya kimkakati. Hii ndiyo maana ya Chama kusimamia Serikali. Miradi hii kama bwawa la umeme la Mwalimu Nyerere itaongeza kasi na kuboresha mazingira ya uchumi wa viwanda, uwekezaji na kupunguza gharama za ununuzi wa umeme kwa wananchi. Tumesikia wawekezaji wanakimbia Kenya kwenda Ethiopia, kisa gharama za umeme.

3. Ameongelea kilimo. Kilimo chetu kinahitaji miundombinu ya maana ikiwemo ya umwagiliaji, ili kisitegemee vuli au masika ambayo haitabariki kutokana na mabadiliko ya Tabianchi. Tusipokuza kilimo cha kisasa vita ya umasikini haitakwisha. Mamilioni ya Watanzania wako kwenye kilimo. Ila ni kama kilimo cha mkono kwenda kinywani.

Haya ndiyo mambo ya kujadili. Mvuto ni hoja nzuri kama zilizotolewa na Katibu Mkuu Chongolo. Hakuna matusi wala kweli. Tumpongeze kwa mwanzo mzuri kabisa.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi, tuendelee kuijenga nchi yetu kwa kufanya kazi na kusimamia ukweli daima.
 
Wewe ni shabiki tu, kama walivyo wengine mnaofungwa akili kwa ushabiki wenu.

Pamoja na hayo uliyorudia hapa kana kwamba wengine hawawezi kuyasoma, ELIMU iko wapi. Mmeridhika na huu uozo uliopo sasa wa kujenga taifa la vipofu?

Elimu na Kilimo vinapashwa kuwa vipa umbele vya kila mwaka kama nchi hii itanyanyuka toka ilipo sasa kwa haraka.

Na hata hicho kilimo kilichoongelewa, ni kama anatimiza wajibu tu kukitaja, hakuna mikakati mahsusi inayoelekezwa katika kukifanya kuwa nyenzo muhimu ya kuwanyanyua wananchi.
 
Katibu Mkuu anamuelekeza Mwenyekiti wake? Amesahau kuwa wao ni chama tawala kwa hiyo ni sehemu ya serikali?

Amandla...
 
Katibu mkuu wa CCM ndugu Chongollo amesema kumeibuka tabia ya baadhi ya madiwani na watendaji wa CCM kupigana ngumi hadharani kwenye mikutano.

Chongolo ametoa onyo kwa wenye tabia hiyo kuacha na kujiheshimu kwani chama hakitawavumilia.

Source: ITV habari
 
Madiwani na Meya wa wilaya ya Kinondoni alikotokea yeye Chongolo ni wala rushwa wakubwa hivyo hawawezi kuendana na mama Liana ambale record yake ya utendaji ni ya kutukuka!! Akiwathibiti mambo yao ya wizi,Meya anajaribu kumtisha bila kufahamu kuwa huyo mama alishapambana na mafisadi papa huko alikopitia na akawatoa kamasi!!!
 
Kama ni mama Liani wapigaji wa mlungula kknondoni wana Kazi. Wamuulize alikopita kote ni ngangali. Bahi mbunge alikamatishwa rushwa na yeye . Huyo mama hatishiki. Ni mmoja wa wachagga waadilifu
 
Katibu mkuu wa CCM ndugu Chongollo amesema kumeibuka tabia ya baadhi ya madiwani na watendaji wa CCM kupigana ngumi hadharani kwenye mikutano.

Chongolo ametoa onyo kwa wenye tabia hiyo kuacha na kujiheshimu kwani chama hakitawavumilia.

Source: ITV habari
kwanza wanapigana ngumi za kike kike. wachapane wapanga kama kweli wao ni wanaume.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom