Chit Chat Praise and Worship Team

Chit Chat Praise and Worship Team

wapendwa naomba mnikumbuke katika ufalme... mi' ntakuwa napiga ngoma!
 
naona kwaya bado haina mwalimu wa dance routines,
hivyo mimi nitakua choreographer,hapo ni viuno vya kufa mtu,
wanakwaya tutashake na kuvibrate hapana masihara.
 
naona kwaya bado haina mwalimu wa dance routines,
hivyo mimi nitakua choreographer,hapo ni viuno vya kufa mtu,
wanakwaya tutashake na kuvibrate hapana masihara.

mmh kwenye praise and worship huwa kuna choreographer???
 
Back
Top Bottom