CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,997
Mi naimba double bass
Kwaya inakaribia kukanilika... Wapi mwalimu wa kwaya, mpiga kinanda, gitaa, visahani, ngoma, marimba, filimbi n.k??????
Mi naimba double bass
namkumbuka....mkinipa uhazini nitanunua vifaa vya digitali.
Sio kolabo, fyucharingi
mi naomba nikusindikize niwe mtunza hazina msaidizi..vifaa vyenyewe nasikia mpaka tukwee pipa
Bujibuji na mimi nimo.
Rich woman wewe hutaki kuimba? Bujibuji anasema bado kuna nafasi!pesa pesaaaa sabuni ya roho pesa....halahala best si unaikumbuka story ya Yuda
Bujibuji na mimi nimo.
we kazi yako itakua ni kufua sare za Wanakwaya!!
Sasa hilo kanisa litakuwa linahubiri nini jamani kama waumini wenyewe ndiyo hao??
Mie naomba mnipe nafasi nitawaeleza mipango yangu ya ukombozi wa hawa wajukuu zangu kwa mwaka 2013!!
Babu DC!!
Kwaya inakaribia kukanilika... Wapi mwalimu wa kwaya, mpiga kinanda, gitaa, visahani, ngoma, marimba, filimbi n.k??????
Hili cio kanisa!kama waumini ndo hawa wanaojitapa kwa mbwebwe ivi!