Chit Chat Praise and Worship Team

Chit Chat Praise and Worship Team

Huu ni mpango mzuri sana, naomba tuushiriki kikamilifu kwa utukufu wa Bwana wetu Yesu Kristo.
Haleluya Kuu
 
nitakuombea Erickb52 Mungu akufanye uondokane na hiyo kiu ya kilevi kwani sipendi kaka yangu uwe hivyo najisikia vibaya sana ukizingatia wewe ndo tunaokutegemea sana katika familia yetu jamani anza kuacha taratibu basi
 
Last edited by a moderator:

nimekumisije mambo zako?
 
cjalielewa hili group.
 
Last edited by a moderator:
utalielewa tu ukizingatia post iliyotumwa pale juu soma kwa msisitizo vyema ndipo utagundua mpendwa kwani wewe unaimba sauti ya ngapi? bampami
 
Last edited by a moderator:
nimemwambia Bujibuji kuwa mm niwe mwl wenu kwani nitawaburuza watu mpaka wajue kuimba kama malaika cause nafahamu wengi hawajui kuimba kama watu8 ngoja tuanze ndipo watu humu ndani watanyooka na kuwa sawa kiumbaji hatutaki muimbe kama mnabeba zege waonaje my cousin charminglady
 
Last edited by a moderator:
si unaona watu wasivyojua hata uimbaji huna sauti ngapi? ona kwa Remmy sasa, wakipigwa msasa watajua kuwa sauti zao na kujua mpangilio wa sauti na uimbaji kwa ujumla ktka uimbaji tunakwenda kwa sauti ya ternal, Alto na Saprano watajua tu kwani mtoto haanzi kutembea anachukua hatua mbalimbali za ukuaji wake kwanza atambae kisha asimame dede na kisha kutembea kwa mnato na mwisho kuikimbia hili ZOEZI niachie mimi nitawafunda taratibu si eti Nicas Mtei, Ruttashobolwa na ruttashubanyuma wao ni wanamziki wanaelewa kabisa, Bujibuji
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom