Chit Chat Praise and Worship Team

Chit Chat Praise and Worship Team

pesa pesaaaa sabuni ya roho pesa....halahala best si unaikumbuka story ya Yuda

unajua bana yuda alikuwa mjanja sana na alikuwa anamwamini sana mshkaji na hakuamini kma wajamaa wataweza kumkamata kwali alikuwa anamwona kila siku anavyofanya miujiza, hivyo alijua kabisa kuwa pesa ataweka kibindoni na atamwonyesha mskaji na wajamaa watashindwa kumkamata kutokana na uwezo wa mskaji ulivyokuwa juu. maskini ya Mungu hakujua kumbe ilikuwa imetia ile siku ya kutimiza neno, ikala kwake hakuamini macho yake jamaa siku hiyo alikamatwa kilaini na kipigo kikali
 
What shall i say unto the Lord,,all i have to say is thank you Lord
 
Mhmm haya Bujibuji......mimi keyboard usinisahau katika ufalume wako!
 
Last edited by a moderator:
mpendwa utaimba sauti ya ngapi nikiwa pembeni yako naigiliza

Ya pili mpenzi! Skia

Taazama wewe ni bwanaa, Mungu wa wote wenye mwiliii. Jee kuna neno gumu loloteeee usiloo liweza *2

Jee kuna neno kuna neno kuna neeeno, usiloooliwezaa, jee kuna neno gumu lolotee, usiloo liweza.

Sauti imrtulia mke mwenzangu, karibu nikufundishe.
 
kitalolo, you are a great thinker I ADORE YOU
unajua bana yuda alikuwa mjanja sana na alikuwa anamwamini sana mshkaji na hakuamini kma wajamaa wataweza kumkamata kwali alikuwa anamwona kila siku anavyofanya miujiza, hivyo alijua kabisa kuwa pesa ataweka kibindoni na atamwonyesha mskaji na wajamaa watashindwa kumkamata kutokana na uwezo wa mskaji ulivyokuwa juu. maskini ya Mungu hakujua kumbe ilikuwa imetia ile siku ya kutimiza neno, ikala kwake hakuamini macho yake jamaa siku hiyo alikamatwa kilaini na kipigo kikali
 
Last edited by a moderator:
kitalolo, you are a great thinker I ADORE YOU

THank mkuu[MENTION] giLESi[/MENTION]
samanai naomba kuuliza hili jina lako naona kama kuna mchanganyiko wa herufi katikati na ndogo ndio zimeanzisha!!!!?
 
Last edited by a moderator:
[TABLE="width: 0"]
[TR]
[TD="class: btext, colspan: 2"]
clearrectangle.gif

[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="width: 99%"]<< 2 Corinthians 3 >>
King James Version
[/TD]
[TD="width: 1%"] [/TD]
[/TR]
[/TABLE]

1Do we begin again to commend ourselves? or need we, as some others, epistles of commendation to you, or letters of commendation from you? 2Ye are our epistle written in our hearts, known and read of all men: 3Forasmuch as ye are manifestly declared to be the epistle of Christ ministered by us, written not with ink, but with the Spirit of the living God; not in tables of stone, but in fleshy tables of the heart.4And such trust have we through Christ to God-ward: 5Not that we are sufficient of ourselves to think any thing as of ourselves; but our sufficiency is of God; 6Who also hath made us able ministers of the new testament; not of the letter, but of the spirit: for the letter killeth, but the spirit giveth life.
7But if the ministration of death, written and engraven in stones, was glorious, so that the children of Israel could not stedfastly behold the face of Moses for the glory of his countenance; which glorywas to be done away: 8How shall not the ministration of the spirit be rather glorious? 9For if the ministration of condemnation be glory, much more doth the ministration of righteousness exceed in glory. 10For even that which was made glorious had no glory in this respect, by reason of the glory that excelleth. 11For if that which is done away was glorious, much more that which remaineth isglorious.
12Seeing then that we have such hope, we use great plainness of speech: 13And not as Moses, which put a vail over his face, that the children of Israel could not stedfastly look to the end of that which is abolished: 14But their minds were blinded: for until this day remaineth the same vail untaken away in the reading of the old testament; which vail is done away in Christ. 15But even unto this day, when Moses is read, the vail is upon their heart. 16Nevertheless when it shall turn to the Lord, the vail shall be taken away. 17Now the Lord is that Spirit: and where the Spirit of the Lord is, there isliberty. 18But we all, with open face beholding as in a glass the glory of the Lord, are changed into the same image from glory to glory, even as by the Spirit of the Lord.

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Registered name na linalindwa na trade mark and copyright act.

Haya bana hii iko china tu ndio maana wameishiwa majina wanayatafuta kwa kudondosha vitu chini mlio unaotoka ndio jina la mtu ati
 
Back
Top Bottom