Chit Chat Praise and Worship Team

Chit Chat Praise and Worship Team

Yaani nyie kama hamjaniweka mimi katika upande wa leader na muongozaji vocal nitawashangaa kwani mm ni mtaalamu wa praise na naimba sauti zote za dunia hii tafadhali msinisahau muulizeni Ruttashobolwa yeye ananijua vika, hivi kwanini Bujibuji tusiwe na MASS CHOIR ya waimbaji wote wa chitchat jf team? hebu fanya hivyo mpendwa
 
Last edited by a moderator:
Mpare wangu ladyfurahia hili la MASS CHOIR ndio mpango mzima.
Yaani nyie kama hamjaniweka mimi katika upande wa leader na muongozaji vocal nitawashangaa kwani mm ni mtaalamu wa praise na naimba sauti zote za dunia hii tafadhali msinisahau muulizeni Ruttashobolwa yeye ananijua vika, hivi kwanini Bujibuji tusiwe na MASS CHOIR ya waimbaji wote wa chitchat jf team? hebu fanya hivyo mpendwa
 
Last edited by a moderator:
anzisha basi tukutane wapi wote wana chitchat mass choir ili tuanze ligwaride la kujifua vocal zetu na mazoezi ya viungo na kila ajiandae kwa nguo za kimazoezi hivi unajua kuwa Nicas Mtei yeye ni mpigaji wa vyombo? Bujibuji
 
Last edited by a moderator:
WEWE Arushaone uko upande upi katika hii MASS CHOIR ya chitchat itakayoanzishwa hapa?
 
Last edited by a moderator:
wewe unafikiri pesa tu ukimbie nazo huwazi kuwa tutafanya wapi hayo mazoezi ya MASS CHOIR acha kuwaza pesa panga mikakati ya kuanzisha hii jumuiya ni nzuri sana Bujibuji amefanya kweli kuleta mada hii jamani wanachitchat tuanze kwani mm nilitamani sana na nimefurahi kuona kuwa kaka yangu ameanzisha kitu chema namna hii Mtoto halali na hela
 
Last edited by a moderator:
kaka Erickb52 mbona unaniangusha hivyo tena umeanza lini kunywa pombe au ile homa yako bado haijapona? pale Daktari alivyokuambia kuwa ukinywa castle inapunguza homa nawe ndo umeendekeza mpaka wakati huu, nimejisikia vibaya na umeiondoa furaha yangu kaka yaani mm sijapenda kabisa acha kutumia hiyo pombe Mungu anachukizwa na walevi best
 
Last edited by a moderator:
hakuna sauti ya kwanza B ndugu yangu kuna sauti ya ARTO, TERNAR, na SAPRANO sasa hiyo sauti ya kwanza B imetoka wapi tena hebu nionyeshe ktk note kama ipo? Bujibuji
 
Last edited by a moderator:
kaka Erickb52 mbona unaniangusha hivyo tena umeanza lini kunywa pombe au ile homa yako bado haijapona? pale Daktari alivyokuambia kuwa ukinywa castle inapunguza homa nawe ndo umeendekeza mpaka wakati huu, nimejisikia vibaya na umeiondoa furaha yangu kaka yaani mm sijapenda kabisa acha kutumia hiyo pombe Mungu anachukizwa na walevi best

Dada yangu ladyfurahia najitahidi kuacha ila nimeshindwa siunajua hii kitu haiachwi km kuzima mshumaa?
Lazma maombi yatembee lol
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom