CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,997
Mpiga ngoma niko hapa.
Asavali... wapi mpiga filimbi????
Mpiga ngoma niko hapa.
Nasubiri skendo tu, wanakwaya huwa wana mambo sana!!!!!!!
Naomba nipangiwe kwenye kwaya sauti ya 4.2 tafadhali. Nani ana dili la yunifomu?
Rich woman wewe hutaki kuimba? Bujibuji anasema bado kuna nafasi!
Shalom!
Shalom!
Shalom!
Mimi ndio Mhazini wa Team...vipi una suggestion ya rangi ya sare kabla sijaweka order??
Nasubiri skendo tu, wanakwaya huwa wana mambo sana!!!!!!!
Aah wapi! Kesho tukae mtandaoni tuagize pamoja. Nitoe mawazo dili ule alone? Asprin, hivi zile sare za atcl ziligharimu pesa ngapi vile?
Shindwaaaaaa tena shindwa kwa jina lako na la mmeo Slave.....
he he he nawajua nyie!!!
ooh mpiga kinanda anatembea ma mke wa mpiga gitaa, mara kwaya master kafumwa akitoka chumbani kwa nani.....
he he we unapiga nini eti shoga au unaimba tu!!!!
he he he nawajua nyie!!!
ooh mpiga kinanda anatembea ma mke wa mpiga gitaa, mara kwaya master kafumwa akitoka chumbani kwa nani.....
he he we unapiga nini eti shoga au unaimba tu!!!!
we kazi yako itakua ni kufua sare za Wanakwaya!!
Me naimba tu na pia ni makamu mwenyekiti wa kwaya.... Karibu saaanaaaa!!!!
Mmmh!!! mabwaku
Hahahahahaaa hujamalizia WANAKWAYA WA KIKE
mapema sana kuanza kushangaa!!!!
mmh! hiyo habari kubwa uloitaja bi dada....hapa majicho yamenitoka kama taa za mbele za Benz