Chini ya mshahara wa millioni mbili mnaishije mbona sielewi

Chini ya mshahara wa millioni mbili mnaishije mbona sielewi

binafsi nashangaa pia mtu anaishije kwa mshahara wa chini milioni 6[emoji23][emoji23].

jenerali ulimwengu kuna clip anaongea na mwandishi kwamba,kama una kipato chini ya 5 milion kwa mwezi,gari litakutesa[emoji23],utakuwa mwizi au mzee wa magendo kazini,nilijikuta nacheka sana.
Huu ni ukweli mtupu.

Kuna watu wako na magari unakuta kuna wiki moja anapaki nyumbani anatumia public transport hapa unajua tu tayari hali ji mbaya. Mwingine kuliosha tu shida unajua huyu alilazimisha kua na gari lakini mufa ulikua bado
 
Kwa sababu tuna kusaidia kumtunza mkeo .kenua meno tu apo
Unafahanu kama Bill Gates aligongewa pia...?
Unakumba undercover story kati ya Babu Seya na Mstaafu..?

Siyo pesa tu..hata ukimpa moyo na mafigo wahuni tukimuhitaji mkeo tunampata fasta tu, na pesa zetu za madafu.
 
Watu hela ndogo tu tunahudumia familia yote na watoto na michango misiba kwenye ukoo inabaki hatuongei.ndio ukubwa huo.
 
hao walimu unaosema wakae mbali hauwataki kisa tu wanapata mshahara kiduchu wamekuzidi wewe mwenye mshara wa TEMBO!!!,,,hauwezi amini waalimu wengi wanamiliki nyumba na mashamba!!! na wamewapangisha watu wenye mshahra wa milioni mbili!!!!,pombe yao ni KIMONI,WANZUKI,CHIPUMU,ULANZI,MBEGE,DENGERUA,MNAZI na CHUMA{GONGO},,,wakti wewe pombe zako ni BEER{tena HEINEKEN,}WHISKY,HEINESS,SERENGETI,KONYAGI, n.k...casino za walimu ni UBANDA kwa kina MAMA SEMENI.,MAMA UTAJIJU na KWA MLOKA!!! unaona bana,,,wewe csino zako ni LAS-VEGAS n.k.......wanapokuwa kwenye ubanda nyama zao ni PUMBU ZA MBUZI/NG"OMBE,UTUMBO WA KITIMOTO,NGOZI ZA KUCHOMA ZA WANYAMA,VICHWA na MIGUU YA KUKU!!! sasa unajua inakuwaje kwa starehe zako za kibwege na starehe za akili za walimu,hapo ENTEGRATION inakuwa imeshatengenezwa wewe unashuka wao wanapanda!!! ata ngo zako unazonunua HS HAMON,,,,{NGUO ZA GHARAMA}...mwalimu anapitishiwa pamba nyepesi hapohapo ubandani,,,,,,,shati buku suruale buku tano,,,,,,,so wakati wewe unataketeza mafuta kwenda kununua shati la elfu 80,,,mwenzako anapiga hatua zisizozidi 50,anainama anaitnga ubandani na mmachinga anampitishia mziogo,ambapo akitoa elf 20,,,anapata kiatu,shati na flana bila kusahau chupi,,,so what,,baada ya miezi 5,nguo zenu zinafanana kwa kupauka!!! biBILL GATE alishastukia hii janja ndo manake anavaa simple kama NDUMI LA KUWILI,,,acha ufala na dharau!!!,,,wa2 kama wewe ndo wanavamiwa na majambazi kwa kudhani mnaishi maisha mazuri kumbe malofa tu!!
Mkuu wengi wao wanafanya hayo kwa mikopo tena mingine mikopo pasua kichwa ni vile huwezi jua ya ndani. Na ndio maana wengi wakishastaafu wanaugua na presha.
 
Ila jf ishukuriwe aisee kwani inajuaga kutupa ubavu sana nyuma ya keyboard.
 
Ila jf ishukuriwe aisee kwani inajuaga kutupa ubavu sana nyuma ya keyboard.
Kabisa... Hapa ninapoandika hii msg kupitia jf ninaweza nikawa nimetua singapore kupata kikombe cha kahawa kisha dinner nitaipata hongkong...
Kumbe ukweli niko dirishani najiuliza haya maji naona yamefika kwenye ngazi mvua ikiendelea kesho si yataingia ndani kwangu
 
Back
Top Bottom