Mahotera
JF-Expert Member
- Mar 20, 2014
- 763
- 1,893
Na pia ashukuriwe Saa100 kwa mvua hizi!!Hahahaaa. Kabisa yaani Mkuu.
Jf ishukuriwe siku zote.
Na pia ashukuriwe Saa100 kwa mvua hizi!!Hahahaaa. Kabisa yaani Mkuu.
Jf ishukuriwe siku zote.
Kwa kweeli.Na pia ashukuriwe Saa100 kwa mvua hizi!!
Maisha ni wewe unavyoamua yaendeje kulingana na kipato chako.Watu wanaishi kwa laki 1 na safi,kila kitu ni wewe unavyojipozisheni.
hahahaHapo utakuta upo kwa Bi mkubwa unasubiri apakue wali na biringanya ule ushibe ili uendelee kuwaponda walimu JF.
Mimi ni muumini wa kuishi vizuri, kutojibana so mtu kupanga apartment nzuri wala sio shida ni vile tu uwe na mipango thabiti usije dhalilika mjini... hakikisha unazalisha helaok, ni maisha yangu na nina gari ya kutembelea pia,,,kuna washakaji nafanya nao kazi ni wa2 wa kujiachia sana,,kuna siku mwanangu akapata kipaimara,nikawaalika,,huwezi amini wengi wao walikunywa bia moja tu na kuondoka bila kuaga,,,,why? wamepanga apartment,,wake zao ni mwendo wa bata tu!! so walipokuja kwangu wakakuta nafuga kuku,mbuzi na mabata,,na pia nalima,,,,,,,,nilipokuwa nikijenga walikuwa wakinicheka\\\\\\'mshamba wewe utajengaje porini?{mvuti} wao wamepanga masaki..kwa mwezi dola 550,,,,,,,,,da!! waliona aibu sana!! juzi kati mmoja wao kafukuzwa kazi,,amekonda amekuwa kama bomba la sindano!!!!
hawezi weka kwa uhakika kwakuwa hutumia kadri anavyopataEmbu weka kwnza mchanganuo wa matumizi yako ya pesa ulivyo
Subiri siku kipato kikishuka hadi laki 3 _ 6 utajua tu kubajeti.Naomba tusaidiane ktk hili ili nipate ujuzi wa kubana matumizi, ivi unawezaje kuishi Kwa kipato cha million mbili Kwa mwezi ilihali mm hiyo pesa Sina mke Wala mtoto lkn inaisha kabla ya tar mosi au labda anasa ni nyingi na sehemu za starehe za gharama zinaniponza
Nahitaji huu mwaka nijibane ili niwe na nidhamu ya fedha. Asanten sana
N. B. napokea ushauri Kwa wote isipokuwa walimu kaeni mbali na mimi siwataki [emoji35]