Chini ya mshahara wa millioni mbili mnaishije mbona sielewi

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
14,591
Reaction score
31,133
Naomba tusaidiane ktk hili ili nipate ujuzi wa kubana matumizi, ivi unawezaje kuishi Kwa kipato cha million mbili Kwa mwezi ilihali mm hiyo pesa Sina mke Wala mtoto lkn inaisha kabla ya tar mosi au labda anasa ni nyingi na sehemu za starehe za gharama zinaniponza

Nahitaji huu mwaka nijibane ili niwe na nidhamu ya fedha. Asanten sana

N. B. napokea ushauri Kwa wote isipokuwa walimu kaeni mbali na mimi siwataki [emoji35]
 
Embu weka kwnza mchanganuo wa matumizi yako ya pesa ulivyo
 
binafsi nashangaa pia mtu anaishije kwa mshahara wa chini milioni 6😂😂.

jenerali ulimwengu kuna clip anaongea na mwandishi kwamba,kama una kipato chini ya 5 milion kwa mwezi,gari litakutesa😂,utakuwa mwizi au mzee wa magendo kazini,nilijikuta nacheka sana.
 
binafsi nashangaa pia mtu anaishije kwa mshahara wa chini milioni 6[emoji23][emoji23].

jenerali ulimwengu kuna clip anaongea na mwandishi kwamba,kama una kipato chini ya 5 milion kwa mwezi,gari litakutesa[emoji23],utakuwa mwizi au mzee wa magendo kazini,nilijikuta nacheka sana.
Yupo sahihi, tunaongea gari sio vikopo
 
Punguza extravagant lifestyle, pia Kula kwenye migahawa mara nyingi inachangia matumizi makubwa ya $ tafuta mwanaume M1 tulia nae .

Ukishindwa fungua fixed account mzigo ukitoka unakatwa inabaki ya matumizi uliyo plan Tu

Ukiweza kusave 500,000 each month
after 5 years bado ukiwa on the same level upigwe mawe.
 
Mkuu nitafute nani wakutulia nae???
 
Back
Top Bottom