Chini ya mshahara wa millioni mbili mnaishije mbona sielewi

Naomba tusaidiane ktk hili ili nipate ujuzi wa kubana matumizi, ivi unawezaje kuishi Kwa kipato cha million mbili Kwa mwezi ilihali mm hiyo pesa Sina mke Wala mtoto lkn inaisha kabla ya tar mosi au labda anasa ni nyingi na sehemu za starehe za gharama zinaniponza

Nahitaji huu mwaka nijibane ili niwe na nidhamu ya fedha. Asanten sana

N. B. napokea ushauri Kwa wote isipokuwa walimu kaeni mbali na mimi siwataki [emoji35]
😃😃😃😃
 
1000023301.jpg
 
hao walimu unaosema wakae mbali hauwataki kisa tu wanapata mshahara kiduchu wamekuzidi wewe mwenye mshara wa TEMBO!!!,,,hauwezi amini waalimu wengi wanamiliki nyumba na mashamba!!! na wamewapangisha watu wenye mshahra wa milioni mbili!!!!,pombe yao ni KIMONI,WANZUKI,CHIPUMU,ULANZI,MBEGE,DENGERUA,MNAZI na CHUMA{GONGO},,,wakti wewe pombe zako ni BEER{tena HEINEKEN,}WHISKY,HEINESS,SERENGETI,KONYAGI, n.k...casino za walimu ni UBANDA kwa kina MAMA SEMENI.,MAMA UTAJIJU na KWA MLOKA!!! unaona bana,,,wewe csino zako ni LAS-VEGAS n.k.......wanapokuwa kwenye ubanda nyama zao ni PUMBU ZA MBUZI/NG"OMBE,UTUMBO WA KITIMOTO,NGOZI ZA KUCHOMA ZA WANYAMA,VICHWA na MIGUU YA KUKU!!! sasa unajua inakuwaje kwa starehe zako za kibwege na starehe za akili za walimu,hapo ENTEGRATION inakuwa imeshatengenezwa wewe unashuka wao wanapanda!!! ata ngo zako unazonunua HS HAMON,,,,{NGUO ZA GHARAMA}...mwalimu anapitishiwa pamba nyepesi hapohapo ubandani,,,,,,,shati buku suruale buku tano,,,,,,,so wakati wewe unataketeza mafuta kwenda kununua shati la elfu 80,,,mwenzako anapiga hatua zisizozidi 50,anainama anaitnga ubandani na mmachinga anampitishia mziogo,ambapo akitoa elf 20,,,anapata kiatu,shati na flana bila kusahau chupi,,,so what,,baada ya miezi 5,nguo zenu zinafanana kwa kupauka!!! biBILL GATE alishastukia hii janja ndo manake anavaa simple kama NDUMI LA KUWILI,,,acha ufala na dharau!!!,,,wa2 kama wewe ndo wanavamiwa na majambazi kwa kudhani mnaishi maisha mazuri kumbe malofa tu!!
 
Naomba tusaidiane ktk hili ili nipate ujuzi wa kubana matumizi, ivi unawezaje kuishi Kwa kipato cha million mbili Kwa mwezi ilihali mm hiyo pesa Sina mke Wala mtoto lkn inaisha kabla ya tar mosi au labda anasa ni nyingi na sehemu za starehe za gharama zinaniponza

Nahitaji huu mwaka nijibane ili niwe na nidhamu ya fedha. Asanten sana

N. B. napokea ushauri Kwa wote isipokuwa walimu kaeni mbali na mimi siwataki [emoji35]
Acha kujipaisha
 
Back
Top Bottom