Chini ya mshahara wa millioni mbili mnaishije mbona sielewi

Kabisa... Hapa ninapoandika hii msg kupitia jf ninaweza nikawa nimetua singapore kupata kikombe cha kahawa kisha dinner nitaipata hongkong...
Kumbe ukweli niko dirishani najiuliza haya maji naona yamefika kwenye ngazi mvua ikiendelea kesho si yataingia ndani kwangu
Hahahaaa. Kabisa yaani Mkuu.

Jf ishukuriwe siku zote.
 
Masikini tuna shida sana.mtu mwenye kipato Cha mil.2 kwa mwezi Hana shombo za hivi na badala yake Yuko busy kumultply hicho kipato Ili kiwe kikubwa zaidi. Ila wenzangu na Mimi hata million hujafikisha unakuja kujitekenya hapa. Zee ziiima hovyo [emoji849][emoji849]
 
Mkuu wengi wao wanafanya hayo kwa mikopo tena mingine mikopo pasua kichwa ni vile huwezi jua ya ndani. Na ndio maana wengi wakishastaafu wanaugua na presha.
kweli man!! mimi sio mwalimu lakini nimeamua kuishi style ya walimu,,matokeo yake nina miliki nyumba kadhaa mvuti,,na nina mashambapia!!
 
Usijinyime sana mkuu. Life is too short usijitese kwa kutafta bila kutumia. Mimi si mtu wa bata sana ila si mtu ambaye naishi kwa kujitesa maana sioni mantiki ya pesa ikiwa nitakuwa na assets lakini najinyima sana.
 
sijitesi,,ila naishi maisha ya KIJIMA!! after then,ukifa unasahau kila ki2"siku yako ya kufa,ni kama siku yako ya kuzaliwa hautakumbuka chochote",,,so ninajitesa kwa ajili ya wanangu,,,,ivi unafikiri kwa nini YESU alikufa kisela,,,,aligundua dunia haina maana yoyote"inawezekana kwa sasa ndio 2mekufa na 2kifa ndo 2naamna"
 
Ni vizuri. Mimi kwa kweli kuishi kijima siwezi. Natafuta na watoto naweka assets ila si kwa ujima maana unaweza ishi kijima uliowatafutia wakaja uza tu na kuonga mademu au hata wasione thamani ya juhudi zako. So, nabalance because I got a life to live.
 
nakushauri siku moja uingie ubanda uone raha zake,,,masela wanastory sana,,,muda wote ni kucheka mwanzo mwisho!! bar kila m2 anajiona bora,kila m2 kashika simu,ni mwendo wa kuchart tu!!!
 
F***ck off subiri yakukute ndio utajua huku uswahilini buku jero tunakula chipsi kuku fresh tu na bado poa ile laana
 
Sijakuelewa mkuu
yaani,,jichanganye na makundi ya chini,,aqslimia kubwa wanatumia viswaswadu{simu tochi}.....sasa basi kinachotokea hapo,,,,ni mwendo wa story tu{face to face}''tofauti na kwnye sehemu za hadhi kila m2 ni mwendo wa kidigitali tu!!!......yaani unaishi maisha ya KINYENYERE tu!!!.........
 
Mkuu if you live in the past the future will never find you. Mkuu utakataa kununua gari lako mwenyewe kwa madai kuwa usaifir binafsi nakuwa peke yangu kwenye gari bora nipande wa umma full story na kuintereact na abiria wenzangu?
Ila nakubaliana na wewe kuna watu wana furaha kwa kidogo walichonacho. Mfano wazaramo wengi, maisha yao simple na wana furaha kila siku wao full shangwe na sherehe.
 
ok, ni maisha yangu na nina gari ya kutembelea pia,,,kuna washakaji nafanya nao kazi ni wa2 wa kujiachia sana,,kuna siku mwanangu akapata kipaimara,nikawaalika,,huwezi amini wengi wao walikunywa bia moja tu na kuondoka bila kuaga,,,,why? wamepanga apartment,,wake zao ni mwendo wa bata tu!! so walipokuja kwangu wakakuta nafuga kuku,mbuzi na mabata,,na pia nalima,,,,,,,,nilipokuwa nikijenga walikuwa wakinicheka\\\\\\'mshamba wewe utajengaje porini?{mvuti} wao wamepanga masaki..kwa mwezi dola 550,,,,,,,,,da!! waliona aibu sana!! juzi kati mmoja wao kafukuzwa kazi,,amekonda amekuwa kama bomba la sindano!!!!
 
Naomba tusaidiane ktk hili ili nipate ujuzi wa kubana matumizi, ivi unawezaje kuishi Kwa kipato cha million mbili Kwa mwezi ilihali mm hiyo pesa Sina mke Wala mtoto lkn inaisha kabla ya tar mosi au labda anasa ni nyingi na sehemu za starehe za gharama zinaniponza

Nahitaji huu mwaka nijibane ili niwe na nidhamu ya fedha. Asanten sana

N. B. napokea ushauri Kwa wote isipokuwa walimu kaeni mbali na mimi siwataki [emoji35]
Acha kuishi maisha ya upotoshaji
 
ok, ni maisha yangu na nina gari ya kutembelea pia,,,kuna washakaji nafanya nao kazi ni wa2 wa kujiachia sana,,kuna siku mwanangu akapata kipaimara,nikawaalika,,huwezi amini wengi wao walikunywa bia moja tu na kuondoka bila kuaga,,,,why? wamepanga apartment,,wake zao ni mwendo wa bata tu!! so walipokuja kwangu wakakuta nafuga kuku,mbuzi na mabata,,na pia nalima,,,,,,,,nilipokuwa nikijenga walikuwa wakinicheka\\\\\\'mshamba wewe utajengaje porini?{mvuti} wao wamepanga masaki..kwa mwezi dola 550,,,,,,,,,da!! waliona aibu sana!! juzi kati mmoja wao kafukuzwa kazi,,amekonda amekuwa kama bomba la sindano!!!!
Hao sasa wamepitiliza japo kupanga ni kuchagua. Mkuu mimi pia nimejenga sio etravagant na sina matumizi mabaya kiasi hicho. Kama you are happy ndilo la msingi. Jambo tu ambalo mimi nalisemea, ni ile mtu ana ela ila haifadi anaishi maisha magumu sana. Huwa sielewi sasa hapo ela inakuwa na maana gani kama unaitafuta halafu haikusaidii unaishi kama asiye kuwa na pesa.
 
furaha inaanzia kwenye akili mkuu!!!,,,,,ukisema ufaidi pesa zako utaishia kupata kisukari na magonjwa ya zinaa kama ukimwi
 
Definition ya furaha ni pana. Si kila mwenye kufaidi furaha anafanya umalaya mkuu. Mfano mimi kuurudika si kunwya pombe. Pombe si party ya burudani kwangu. Lakini kwa wanaume wengi furaha ni kula mtungi. Kisukari unaweza kukipata kwa kula vibaya na kutokufanay mazoezi hata ukiwa waishi kijima. Na wakati mwingine kuna watu from nowhere wanapata kisukari.
Kuna jamaa juzi humu kaleta thread, ndugu yake figo zote mbili zimefaili gafla na wakati anasema hajawahi kunywa pombe.
Mimi ninachoamini, we live to live life....
 
"ceteris paribus"....other things being equal!!
 
Back
Top Bottom