Chini ya mshahara wa millioni mbili mnaishije mbona sielewi

Chini ya mshahara wa millioni mbili mnaishije mbona sielewi

binafsi nashangaa pia mtu anaishije kwa mshahara wa chini milioni 6[emoji23][emoji23].

jenerali ulimwengu kuna clip anaongea na mwandishi kwamba,kama una kipato chini ya 5 milion kwa mwezi,gari litakutesa[emoji23],utakuwa mwizi au mzee wa magendo kazini,nilijikuta nacheka sana.
Ni kipato cha chini ya milioni 6 mkuu, na sio tano.
 
100othrspic.png

Kuna pesa inaitwa Leone ni ya Sierra Leone ndio utakuwa unaizungumzia unalipwa.
 
Hivi hujui kuna walimu wapo humu na wanalipwa zaidi Million 4 kwa mwezi? Utaki ushauri wao? 😂😂😂😂😂😂
Mfano wa hao Walimu
Mwl Jenista Muhagama
Mwl Kassim Majaliwa
Mwl Anna Kilango Malechela
Mwl Josephat Mngwajima
Mwl Antony Lusekelo
 
Hivi hujui kuna walimu wapo humu na wanalipwa zaidi Million 4 kwa mwezi? Utaki ushauri wao? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mfano wa hao Walimu
Mwl Jenista Muhagama
Mwl Kassim Majaliwa
Mwl Anna Kilango Malechela
Mwl Josephat Mngwajima
Mwl Antony Lusekelo
Akili zako hazipo sawa
 
Back
Top Bottom