babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 13,113
- 16,022
Cheusi namtafuta kwa udi na uvumbi,yeyote mwenye mawasiliano naye ani-pm amapopote ulipo maa nicheki kule pm tuwasiliane plz.muhimu sana
Ndio manaake rose,nawewe jicho hilo unakonyeza tuuuu halikuumi?avatar yako nzuri.....BABU unaendesha kigari?
Cheusi namtafuta kwa udi na uvumbi,yeyote mwenye mawasiliano naye ani-pm amapopote ulipo maa nicheki kule pm tuwasiliane plz.muhimu sana
Mwambie bana PJ mi mwenyewe BF wake wa JF kanibamiza chini bila hata huruma wajameni,lakini ndio maisha namtakia kila la heri huko alipo.Alishapata mchumba na anaolewa very soon!
Anasoma PM za Business TU, hataki tena mapenzi!
<br />Mwambie bana PJ mi mwenyewe BF wake wa JF kanibamiza chini bila hata huruma wajameni,lakini ndio maisha namtakia kila la heri huko alipo.
umesomekaukimwona kamwambie bk anakutafuta kabla hajakata roho akupe ujumbe wako alopewa na munguNimesoma Ujumbe wako... badala ya kukutaarifu moja kwa moja nimeona niombe ruhusa kwake kwanza... Na kasema She is busy with her Love... Hivoanaomba msimbughudhi kwa sasa....