Cheusimangara popote ulipo nakutafuta

babukijana

JF-Expert Member
Jul 21, 2009
13,071
15,928
Cheusi namtafuta kwa udi na uvumbi,yeyote mwenye mawasiliano naye ani-pm amapopote ulipo maa nicheki kule pm tuwasiliane plz.muhimu sana
 
Alishapata mchumba na anaolewa very soon!
Anasoma PM za Business TU, hataki tena mapenzi!
Mwambie bana PJ mi mwenyewe BF wake wa JF kanibamiza chini bila hata huruma wajameni,lakini ndio maisha namtakia kila la heri huko alipo.
 
Cheusi namtafuta kwa udi na uvumbi,yeyote mwenye mawasiliano naye ani-pm amapopote ulipo maa nicheki kule pm tuwasiliane plz.muhimu sana
mtu wako huyu apa amefanya hair planting: 295931_172287912847185_100001979322758_375381_5421721_n.jpg
 
Nimesoma Ujumbe wako... badala ya kukutaarifu moja
kwa moja nimeona niombe ruhusa kwake kwanza...
Na kasema She is busy with her Love... Hivo
anaomba msimbughudhi kwa sasa....
 
Nimesoma Ujumbe wako... badala ya kukutaarifu moja kwa moja nimeona niombe ruhusa kwake kwanza... Na kasema She is busy with her Love... Hivoanaomba msimbughudhi kwa sasa....
umesomekaukimwona kamwambie bk anakutafuta kabla hajakata roho akupe ujumbe wako alopewa na mungu
 
Back
Top Bottom