Nimefurahi sana Kipara kufungwa na Mwacity wake maana walitudhulumu penati halali kabisa ya FA semi final iliyotokana na faulo ya Pamer.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
When you are poor you need to be realistic to yourself. Let's recognize where we come from. Otherwise it's simple to be swayed by the illusion
Nyie ndio hamtaki kukubali ukweli about Poch.

You want to say Villa n Spurs are better than us right??
This Villa squad under stevie G was one of the worseee team. Ila look at them now

Watu hamtaki kukubali umuhim wa kocha katika Team.
 
Wanaomtetea Poch wakapimwe akili, uwezi kufungwa Shefield na Bansley sijui alafu ukatoe draw na Man City alafu uachwe kuwa wewe ni kocha.
Kocha anaejua mpira lazima aweke mikakati ya timu za lazima achukue pointi 3.
 
City wametuuza tena bei ya bure
Sasa tuko hapa

View attachment 2999273

Sasa mnaweza msielewe ila huku ndiko kunakowafaa. Mtapad statistics za wachezaji wenu kinoma. Palmer akifunga magoli 3 PL na 7 conference mtasema ana 10 goals in all competitions, huku Haaland akifunga 6 PL na 2 UCL mtasema ana 8 goals in all competitions na mtaanza kusema Palmer kamzidi Haaland. Confidence watakayopata itakuwa balaa.
 
Muhimu tuko Europe ukitilia maanani timu ilikuwa chini ya tapeli
 
Usajili wa hovyo
Estavo na PAez ni usajili mzuri hawa wawili wakija kucheza na Palmer na Nkunku, na Mudryk akifuguka mbele atakuwa kabakia striker tu kwa miaka 10+ ijayo
Tutakuwa na kazi ya kushona viraka tu vya hapa na pale
 
Kombe la Dunia la Vilabu litafanyika mwishoni mwa msimu wa 24/25.
Chelsea na Man City ndizo vilabu pekee za Premier League zitakazokwenda.

🌍🏆2025 FIFA Club World Cup Team Update:
  1. Chelsea
  2. Man City
  3. Real Madrid
  4. Atletico Madrid
  5. Bayern Munich
  6. Borussia Dortmund
  7. PSG
  8. Inter Milan
  9. Juventus
  10. Porto
  11. Benfica
  12. RB Salzburg
  13. Palmeiras
  14. Flamengo
  15. Fluminense
  16. River Plate
  17. Auckland City
  18. Al Hilal
  19. Urawa Red Diamonds
  20. Al Ain
  21. Ulsan HD
  22. Al Ahly
  23. Wydad AC
  24. ES Tunis
  25. Sundowns
  26. Monterrey
  27. Club León
  28. Seattle Sounders
  29. ....
  30. ...
  31. ..
  32. ..
 
Chelsea hatujalala bado!

Chelsea wako tayari kutoa dau la pauni milioni 20 kumnunua mlinda mlango wa Burnley na mlinda mlango no. 1 mtarajiwa wa England James Trafford.
Simon Philips
 
Back
Top Bottom