Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Usajili wa hovyo
Estavo na PAez ni usajili mzuri hawa wawili wakija kucheza na Palmer na Nkunku, na Mudryk akifuguka mbele atakuwa kabakia striker tu kwa miaka 10+ ijayo
Tutakuwa na kazi ya kushona viraka tu vya hapa na pale
 
Kombe la Dunia la Vilabu litafanyika mwishoni mwa msimu wa 24/25.
Chelsea na Man City ndizo vilabu pekee za Premier League zitakazokwenda.

🌍🏆2025 FIFA Club World Cup Team Update:
  1. Chelsea
  2. Man City
  3. Real Madrid
  4. Atletico Madrid
  5. Bayern Munich
  6. Borussia Dortmund
  7. PSG
  8. Inter Milan
  9. Juventus
  10. Porto
  11. Benfica
  12. RB Salzburg
  13. Palmeiras
  14. Flamengo
  15. Fluminense
  16. River Plate
  17. Auckland City
  18. Al Hilal
  19. Urawa Red Diamonds
  20. Al Ain
  21. Ulsan HD
  22. Al Ahly
  23. Wydad AC
  24. ES Tunis
  25. Sundowns
  26. Monterrey
  27. Club León
  28. Seattle Sounders
  29. ....
  30. ...
  31. ..
  32. ..
 
Chelsea hatujalala bado!

Chelsea wako tayari kutoa dau la pauni milioni 20 kumnunua mlinda mlango wa Burnley na mlinda mlango no. 1 mtarajiwa wa England James Trafford.
Simon Philips
 
Kikosi kinachoweza kuwa cha Robert De Zerbi kama ataajiriwa na Chelsea (4-2-3-1):

GK = James Trafford/Petrovic
RB = James/Gusto
RCB = Fofana / Disasi
LCB = Colwill/Badiashile
LB = Cucurella/New LB

CM = Caicedo/Lavia
CM = Enzo/Santos
CAM/No. 10 = Palmer/Carney

RW = Olise/Madueke
LW = Nkunku/Mudryk
ST = New Striker/Jackson
 
Amezaliwa tarehe 24 April 2007, January bado atakuwa na miaka 17. Hataruhusiwa kuingia Uingereza kucheza labda kama kutalii tu chini ya uangalizi wa wazazi au walezi

Tarehe 1 January atakuwa na umri wa miaka 17, miezi 8 na siku 8
Tarehe 24 April 2025 ndio anafikisha miaka 18
Kombe la Dunia la Vilabu la FIFA 2025, rasmi kwa jina la Mundial de Clubes FIFA 25, ni toleo la 21 lililopangwa la Kombe la Dunia la Vilabu la FIFA, ni shindano la kimataifa la kandanda la vilabu linaloandaliwa na FIFA.

Mashindano hayo yamepangwa kuchezwa nchini Marekani kuanzia Juni 15 hadi Julai 13, 2025.

So
Estavo Willian atajiunga na Chelsea katikati ya Julai 2025 mara tu baada ya Kombe la Dunia la Klabu ya FIFA, kwa hivyo ataichezea Palmeiras kwanza kabla ya kujiunga na Chelsea.
 
Kocha mkuu wa Brentford Thomas Frank amekuwa na mikutano mingi na Chelsea
Ifahamike kuwa yeye ni mmoja wa wagombea wa nafasi hiyo Stamford Bridge.

1716719141108.png
 
Chelsea hatujalala bado!

Chelsea wako tayari kutoa dau la pauni milioni 20 kumnunua mlinda mlango wa Burnley na mlinda mlango no. 1 mtarajiwa wa England James Trafford.
Simon Philips
Mi naona petrovic anatosha aisee ,tuachane na habari za makipa aisee ,tudeal na kujenga team ya ushindi
 
Finally
Robert De Zerbi amhojiwa na Uongozi wa Chelsea katika jitihada za kumtafuta mridhi wa Mauricio Pochettino
Amefanya sasa orodha ya walengwa wa hiyo nafasi kuwa
• Roberto De Zerbi
• Thomas Frank
• Enzo Maresca
• Kieran McKenna
Kumbe yule wa nne aliyetajwa wa siri ni RDZ!
Chelsea inamtafuta meneja mwenye kufundisha soka la kisasa na mwenye uzoefu wa soka ya Uingereza na Ligi Kuu. Ruben Amorim au Xavi hawako kwenye hiyo list pamoaj na kutajwa na baadhi ya vyanzo vya habari
@SkySport News!
 
Chelsea hatujalala bado!

Chelsea wako tayari kutoa dau la pauni milioni 20 kumnunua mlinda mlango wa Burnley na mlinda mlango no. 1 mtarajiwa wa England James Trafford.
Simon Philips
Hizi ni tetes tu mkuu na sidhan kama tunaweza toa 20M kwa Trafford,

Huu ndio muda wa Mawakala kuanza kuwahusisha wachezaji wao huku kwetu.
 
Narudia kusema
Hata aje Robert De Zerbi au Enzo Maresca hao wote wataonyesha kandnada safi kuliko Pochettino na hatutafungwa kitapeli tapeli kama alivyotufanya Poche mashavu
Kwa kura ya kwenye mitandao mikubwa iliyofanywa
Takriban 70% wanamtaka Robert De Zerbi

1716761425221.png

1716754320141.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom