Kuna waliokuwa wanamkandia sana na kulinganisha uwezo wake na matokeo ya BrightonDi zerbi in the house
Hizi ni propaganda tu waandishi wanazugwq tu hapaHabari mpya
Uongozi unamtaka Enzo Maresca
Behdad Eghbali anamtaka Robert Der Zerbi
Wiki ijayo anatangazwaUtashangaa mpk ligi inaanza bado watakua hawajapata kocha.
Hata hiyo ya De Zerbi Fabrizio kanyamaza kimya ina maana sio ya uhakikaHizi ni propaganda tu waandishi wanazugwq tu hapa
Naona kabisa De Zerbi ndie kocha anaekuja
Kiukweli kocha huwezi kumshortlist au kumhoji sana kwa sababu profile zao zinajulikana mpaka personalities zao zinajulikana.Hivi kwa nini wakurugenzi wa michezo huwa wanajua tu kweli kocha gani wanaemuhitaji??
Vilabu vyote vikubwa huwa na kocha maalum wanaemtaka hakuna haja ya kushortlist makocha ndio yale yale unaenda chagua kocha mbov kisa amekuimpress kwenye interview.
YES, Mount is a coward, hakuna jina jingine hata kama mmeshinda hicho kikombe cha mbuziRemember when €120M 'Flop' Enzo Fernandez taunted Mason Mount earlier this season for leaving Chelsea? Fast forward...
— Mason Mount WON the FA CUP with United while Enzo lost the Carabao Cup with Chelsea and he'll be playing conference league next season.
We had the last laugh 😂View attachment 3000389
Mwenzio ana kombe la dunia we unamtambia na FA!! Seriously?? Si wehu huo.Remember when €120M 'Flop' Enzo Fernandez taunted Mason Mount earlier this season for leaving Chelsea? Fast forward...
— Mason Mount WON the FA CUP with United while Enzo lost the Carabao Cup with Chelsea and he'll be playing conference league next season.
We had the last laugh 😂View attachment 3000389