Kikubwa nilichogundua ajenda kuu ya soka la Ulaya ni kupromote Ushoga na Usagaji, ni vile niko addicted tu na burudani ya soka.
Ila hawa wazungu malengo yao makuu kwenye hizi burudani ni kumpigia deki Mpinga Kristo barabara zote ili aje kupita kwa nafasi akiwa na wafuasi wakutosha.
Wiki iliyopita kama sio wiki hii mwanzoni niliona page ya Skysport ya Instagram wamepost jamaa limempigia goti mwanaume mwenzake lina propose na jamaa linalovishwa pete eti linaficha sura kama wanawake. Hayo yalikua yanafanyika kwenye stadium kubwa na wote ni wachezaji wa hiyo timu nafikiri.
 
Kuna wakati nataman niache kabisa kufatilia michezo
 
Kikubwa nilichogundua ajenda kuu ya soka la Ulaya ni kupromote Ushoga na Usagaji, ni vile niko addicted tu na burudani ya soka.
Ila hawa wazungu malengo yao makuu kwenye hizi burudani ni kumpigia deki Mpinga Kristo barabara zote ili aje kupita kwa nafasi akiwa na wafuasi wakutosha.
Siyo soka tu ndugu yangu. Bali kila sekta ya burudani. Hukosi haya mambo kwenye movies na series zao. Hata kwenye shule zao, mpaka siasa zao...
 
Kocha wa timu ya wanawake ya Chelsea Emma Hayes, ambaye atahamia USA national team, ameweka wazi kinacho sababisha Chelsea kufanya vibaya. Kwamba wachezaji wana geuzana wenyewe kwa wenyewe (intrasquad relationships). Kwa mfano WSL: Jess Carter anafanyana (bonking) na Ann-Katrin Berger na Sam Kerr anamgonga Kristie Mewis. Wanaume majina naya hifadhi.
Madhara makubwa yanakuja pale mmoja kati ya hao wapenzi anapokuwa kwenye hatua za mwisho kukamilisha mkataba wake na mwingine mkataba wake ungali bado. Matokeo yake, anayekaribia kuondoka ku- influence ambaye bado ili waondoke wote
Unaweza kuwa na hoja ila nadhan kuna sehem unadanganya esp hapo sababu inayomfanya Emma Hayes aondoke sio hiyo.

Soccer la wanawake limejaa hayo mambo kwa vilabu vyote, Huko USA anakoenda ndio kabisa Ex captain wa usa (Rapinoe ) ni Lesbian tena yako wazi wazi

Unaposema eti anaondoka kwa sababu ya hizo maswala sio kweli. Angalia source zako vizuri
 
Kuna wakati nataman niache kabisa kufatilia michezo
Hawa washenzi kila mahali wanaweka watu wao. Mimi ni mdau mkubwa wa movies aidha series au singles ila nikaamza kukutana na haya mambo mpaka sasa nimebaki kuchagua movies kwa sababu kuna minjemba haiwezi kukubali ufirauni kama Denzel Washington, Jason Statham, Liam Smith n.k

Ila sasa wanakuja kwenye mpira kwa kasi nashindwq kuelewa huko mbele itakuaje hasa haya mambo yakishafika Africa kwa kufanyika hadharani hasa kwenye michezo
 
Chelsea ya msimu uliopita yaan 2022-2023 na ya msimu huu unaoendelea mnyonge mnyongen ila pongez zake mpeni poch amefanya mabadiliko makubwa hasa ktk eneo la kupasia kamba nyavuni.
Tungekuwa na kocha mzuri tusingekuwa hapa tulipo,
 
Hawa washenzi kila mahali wanaweka watu wao. Mimi ni mdau mkubwa wa movies aidha series au singles ila nikaamza kukutana na haya mambo mpaka sasa nimebaki kuchagua movies kwa sababu kuna minjemba haiwezi kukubali ufirauni kama Denzel Washington, Jason Statham, Liam Smith n.k

Ila sasa wanakuja kwenye mpira kwa kasi nashindwq kuelewa huko mbele itakuaje hasa haya mambo yakishafika Africa kwa kufanyika hadharani hasa kwenye michezo
Atleast naona huku kwenye mpira wa wanaume haijawa kivile kama mpira wa wanawake

Maana mpira wa wanawake mpaka wachezaji wanaenda public kabisa wanajitangaza.

Yani saiv hivi vitu ni kiwa makini sqna na watoto wetu
 
Back
Top Bottom