Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hawa washenzi kila mahali wanaweka watu wao. Mimi ni mdau mkubwa wa movies aidha series au singles ila nikaamza kukutana na haya mambo mpaka sasa nimebaki kuchagua movies kwa sababu kuna minjemba haiwezi kukubali ufirauni kama Denzel Washington, Jason Statham, Liam Smith n.k

Ila sasa wanakuja kwenye mpira kwa kasi nashindwq kuelewa huko mbele itakuaje hasa haya mambo yakishafika Africa kwa kufanyika hadharani hasa kwenye michezo
Atleast naona huku kwenye mpira wa wanaume haijawa kivile kama mpira wa wanawake

Maana mpira wa wanawake mpaka wachezaji wanaenda public kabisa wanajitangaza.

Yani saiv hivi vitu ni kiwa makini sqna na watoto wetu
 
Hivi inakuaje mpaka sasa Poch ajaamua mpigaj penalt wetu..
Mpigaji wa penalty ni Palmer
Mashabiki wanamlaumu Palmer kwa kukubali kumpa kwa sababu Replay inaonyesha kuwa Palmer alishabeba mpira kupiga Sterling akamuomba akampa kirahisi
Pia mashabiki wegi wanamlaumu kapteni kutoingilia kati ndio kazi yake, Gallagher sijui ukapteni wake ni wa nini hasa
1710692129965.png
 
Experience🤣🤣🤣🤣🤣

Yani mda anaopewa Sterling naamini wangepewa Madueke na Mudryk naamini wangekuwa muendelezo mzuri

Sterling hata acheze mechi 10 mfululizo vubaya bado Poch ataendelea kumpanga
Ndio maana tunasema Pochettino ni gaidi la soka
 
Angle ya maamuzi, kimbinu,favouritism etc

Na team ameanza nayo kuanzia pre season msisahau hilo
Wachezaji wetu Bado wanajitafuta,,,
Usitake kuniaminisha kwamba pale Kuna mchezaji poch anashindwa kumtumia kama wapo wataje,,
Sometimes makosa sio ya MWALIMU ni aina ya viwango walivyo navyo wachezaji wetu
 
Maamuzi ya Kocha ndiyo tunazungumzia
Wachezaji wanabehave kulingana na kocha waliye naye
Akiwepo kocha asiyeremba na kubembeleza huwezi kuona mambo kama haya yakitokea
Huyu bwege abacheka na hao watoto na wanamfanya kama mjomba, hapo utategemea wajitume saa zote???
 
Bora tumludishe g.potter
 
Leo sub ya huyu kilaza imefanya kazi vizuri
Kabahatisha au ndio anaanza kujifunza kitu
🔂🔛Chukwuemeka 76’ Madueke 83’
⚽⚽Chukwuemeka 90+2 ’Madueke 90+8’
 
Mpigaji wa penalty ni Palmer
Mashabiki wanamlaumu Palmer kwa kukubali kumpa kwa sababu Replay inaonyesha kuwa Palmer alishabeba mpira kupiga Sterling akamuomba akampa kirahisi
Pia mashabiki wegi wanamlaumu kapteni kutoingilia kati ndio kazi yake, Gallagher sijui ukapteni wake ni wa nini hasa
Kuna game sijui ni ya city sterling alitaka kupiga ikabid enzo aingilie kati na kuamua Palmer apige
 
Attachments

  • IMG_2313.jpeg
    IMG_2313.jpeg
    269.9 KB · Views: 7
Wachezaji wetu Bado wanajitafuta,,,
Usitake kuniaminisha kwamba pale Kuna mchezaji poch anashindwa kumtumia kama wapo wataje,,
Sometimes makosa sio ya MWALIMU ni aina ya viwango walivyo navyo wachezaji wetu
Makosa ni ya mwalimu

Tuombe uzima siku akija kocha Anaeleweka ndio mtajua.

Hakuna mchezaji anaejitafuta,mbinu za Poch ndio zinawafanya muone wanajitafuta.

Hii squad yetu na aina ya uchezaj wa poch ni vitu viwili tofauti.

Tunawachezaji wazuri ambao wanathiriwa na uwepo wa poch
 
Kuna game sijui ni ya city sterling alitaka kupiga ikabid enzo aingilie kati na kuamua Palmer apige
Pochettino akielezea Palmer kumruhusu Sterling apige penalti hiyo:

"Nadhani unamfahamu vizuri huyo ni Cole. Lakini Cole alimpa mpira Raheem, nadhani wana uhusiano mzuri sana, ulitoka, bila shaka, Manchester City, walipokuwa wote Manchester City. Raheem alipoomba apewe, mpira wa kupiga penalti nadhani Cole alitoa [mpira], nina uhakika unaweza kuona kwenye TV.

Lakini hilo sio tatizo, Cole anaweza kukosa, Raheem anaweza kukosa, kwangu mimi uamuzi wao ni wao. Bila shaka, nitakubali

Pochettino on Palmer allowing Sterling to take the penalty:
"I think you know very well that is Cole. But Cole gave the ball to Raheem, I think they have a very good relationship, it came from, of course, Manchester City, when they were both at Manchester City. When Raheem asked for the ball to take the penalty I think Cole gave [the ball], I’m sure you can see the TV.

But that is not a problem, Cole can miss, Raheem can miss, for me their decision is theirs. Of course, I’ll alow
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom