juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,463
Hivi inakuaje mpaka sasa Poch ajaamua mpigaj penalt wetu..
Mpiga penati ni palmerHivi inakuaje mpaka sasa Poch ajaamua mpigaj penalt wetu..
Hakuna kitu kama hchooLeo mpaka Kukulela nae kafunga [emoji38][emoji38][emoji38]
Shida yenu nyinyi wavaa blauz wa London pamoja na sisi nyumbu ni katika suala la kushikilia bomba, kipindi cha pili utashangaa goli zote 2 zimerudi na kuongezwa la 3 kama kifungashio.
Ndugu upo liveDisasi..
Bonge la goli..
Hahahaha
We mtu mnafki SanaDisasi..
Bonge la goli..
Hahahaha
Yeah live kabisa..Ndugu upo live
Unfortunately, mapenzi ya jinsia moja yamejaa sana kwenye soka la wanawake. Hata sisi Arsenal tuna shida hiyo. Vivienne Miedema alikuja Arsenal kutoka Bayern Munich kwa sababu demu wake alitangulia kuja, akamfuata. Baadae demu wake akaondoka Viv akachukuana na Lisa Evans. Lisa akaondoka, Viv sasa amechukuana na Beth Mead.Kocha wa timu ya wanawake ya Chelsea Emma Hayes, ambaye atahamia USA national team, ameweka wazi kinacho sababisha Chelsea kufanya vibaya. Kwamba wachezaji wana geuzana wenyewe kwa wenyewe (intrasquad relationships). Kwa mfano WSL: Jess Carter anafanyana (bonking) na Ann-Katrin Berger na Sam Kerr anamgonga Kristie Mewis. Wanaume majina naya hifadhi.
Madhara makubwa yanakuja pale mmoja kati ya hao wapenzi anapokuwa kwenye hatua za mwisho kukamilisha mkataba wake na mwingine mkataba wake ungali bado. Matokeo yake, anayekaribia kuondoka ku- influence ambaye bado ili waondoke wote
Kikubwa nilichogundua ajenda kuu ya soka la Ulaya ni kupromote Ushoga na Usagaji, ni vile niko addicted tu na burudani ya soka.Unfortunately, mapenzi ya jinsia moja yamejaa sana kwenye soka la wanawake. Hata sisi Arsenal tuna shida hiyo. Vivienne Miedema alikuja Arsenal kutoka Bayern Munich kwa sababu demu wake alitangulia kuja, akamfuata. Baadae demu wake akaondoka Viv akachukuana na Lisa Evans. Lisa akaondoka, Viv sasa amechukuana na Beth Mead.
Man United women walipitia hayo pia walipowaleta Tobin Heath na Christen Press. Sijui story yao iliishaje ila Tobin alihamia Arsenal.
we jamaa nae.....kwahiyo unaamini kabisa hawa wachumba wa darajaniNawategemea mumpige Arsenali sasa kwa mpira huu mtaweza kweli mbona mnanipa wasiwasi Aiseee? Lecester wanachomoaje aiseee
Wameanza kunipa wasiwasi sidhani kama hata sare watapatawe jamaa nae.....kwahiyo unaamini kabisa hawa wachumba wa darajani
watatupiga wakija emirates!!!
hamis77 alishawaambia kila goti awamu hiiWameanza kunipa wasiwasi sidhani kama hata sare watapata