Hivi vitu mnavyozungumza vimeniacha mdomo wazi kama vile ni normal issue but nimazitoUnfortunately, mapenzi ya jinsia moja yamejaa sana kwenye soka la wanawake. Hata sisi Arsenal tuna shida hiyo. Vivienne Miedema alikuja Arsenal kutoka Bayern Munich kwa sababu demu wake alitangulia kuja, akamfuata. Baadae demu wake akaondoka Viv akachukuana na Lisa Evans. Lisa akaondoka, Viv sasa amechukuana na Beth Mead.
Man United women walipitia hayo pia walipowaleta Tobin Heath na Christen Press. Sijui story yao iliishaje ila Tobin alihamia Arsenal.
Chelsea inapocheza team kubwa wenzake hawachezi kama hiviWameanza kunipa wasiwasi sidhani kama hata sare watapata
Kwenye soka la wanawake ulaya, cha kushangaza zaidi ni kukuta demu ana mahusiano na mwanaume. Ila demu kwa demu ndiyo hali ya kawaida iliyozoeleka 😂😂Hivi vitu mnavyozungumza vimeniacha mdomo wazi kama vile ni normal issue but nimazito
Tuletee kuhusu maneno yake against kumtoa MudrykPochettino akielezea Palmer kumruhusu Sterling apige penalti hiyo:
"Nadhani unamfahamu vizuri huyo ni Cole. Lakini Cole alimpa mpira Raheem, nadhani wana uhusiano mzuri sana, ulitoka, bila shaka, Manchester City, walipokuwa wote Manchester City. Raheem alipoomba apewe, mpira wa kupiga penalti nadhani Cole alitoa [mpira], nina uhakika unaweza kuona kwenye TV.
Lakini hilo sio tatizo, Cole anaweza kukosa, Raheem anaweza kukosa, kwangu mimi uamuzi wao ni wao. Bila shaka, nitakubali
Pochettino on Palmer allowing Sterling to take the penalty:
"I think you know very well that is Cole. But Cole gave the ball to Raheem, I think they have a very good relationship, it came from, of course, Manchester City, when they were both at Manchester City. When Raheem asked for the ball to take the penalty I think Cole gave [the ball], I’m sure you can see the TV.
But that is not a problem, Cole can miss, Raheem can miss, for me their decision is theirs. Of course, I’ll alow
🤣🤣🤣🤣
- Misses a Penalty.
- Missed an easy 1v1.
- Sends a free-kick to the moon.
Kwa namna chelsea wanawake walivyokuwa wanagonga mali walipaswa kuwa na uefa maana ilifika anatolewa na Barca kwa aggregate ya 1-0 ,lakini kwa sasa ubora umepungua anafungwa na city easily kumbe midada inajichezea wipers .Unfortunately, mapenzi ya jinsia moja yamejaa sana kwenye soka la wanawake. Hata sisi Arsenal tuna shida hiyo. Vivienne Miedema alikuja Arsenal kutoka Bayern Munich kwa sababu demu wake alitangulia kuja, akamfuata. Baadae demu wake akaondoka Viv akachukuana na Lisa Evans. Lisa akaondoka, Viv sasa amechukuana na Beth Mead.
Man United women walipitia hayo pia walipowaleta Tobin Heath na Christen Press. Sijui story yao iliishaje ila Tobin alihamia Arsenal.
Mbona kama ten Hag anaweza kujikuta kajibebea kikombe hivi hivi kiutani utani?
Kuna Man CityMbona kama ten Hag anaweza kujikuta kajibebea kikombe hivi hivi kiutani utani?