Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

In short kocha hatuna sijaona sababu ya kumtoa Mudryk nakumbakisha sterling,Pili wakati opponent wamechomoa kocha kaa tu na kakunya nne kwa kurelax utadhani anacheki movie hakuna cha kuhamasisha wala nini
Mkuu na wewe siulikuwa unamtetea Poch?
Nafurahi nikiona taratib mnaanza kukubali uhalisia
 
Makosa ni ya mwalimu

Tuombe uzima siku akija kocha Anaeleweka ndio mtajua.

Hakuna mchezaji anaejitafuta,mbinu za Poch ndio zinawafanya muone wanajitafuta.

Hii squad yetu na aina ya uchezaj wa poch ni vitu viwili tofauti.

Tunawachezaji wazuri ambao wanathiriwa na uwepo wa poch
Mudrick
Caicedo
Jackson

Nmeanza na hao kwanza,,,je,wamejipata,?
 
Mkuu na wewe siulikuwa unamtetea Poch?
Nafurahi nikiona taratib mnaanza kukubali uhalisia
Kitu ambacho namsapoti posh ambacho naona kaimprove team ni ule uwezo wa kuscore kama unakumbukumbu vizuri kuanzia TT, Potter pamoja Lampard ushindi wetu ulikuwa tumezidi sana 2 na ulifika hatua hata tukawa tunapata tabu kwenye katengeneza chance achia tu kufunga goals
 
Leo sub ya huyu kilaza imefanya kazi vizuri
Kabahatisha au ndio anaanza kujifunza kitu
🔂🔛Chukwuemeka 76’ Madueke 83’
⚽⚽Chukwuemeka 90+2 ’Madueke 90+8’
Kocha akili zake zinamtosha yeye ,sterling kakosa penalty,kakosa bao la wazi kapiga nje kabisa no ontarget,kapewa faulo kapiga mnazi tena juu pembeni sio juu ya mwamba,kazuia goli la Mudrky,chakushangaza anatolewa Mudrky anaacha huyo mzee baba ,nilisikitika sana nikaendelea kukagua madaftari ya watoto na mitihani.baada ya kumtoa nikarudi kuangalia burudani.
 
Kitu ambacho namsapoti posh ambacho naona kaimprove team ni ule uwezo wa kuscore kama unakumbukumbu vizuri kuanzia TT, Potter pamoja Lampard ushindi wetu ulikuwa tumezidi sana 2 na ulifika hatua hata tukawa tunapata tabu kwenye katengeneza chance achia tu kufunga goals
Kuna utofauti Squad iliyokuwepo na hii.

Squad aliyokuwa nayo Tuchel n Potter nitofauti na hii,

Kwa Tuchel msim aliogufukzwq after 6 games waliobaki ni james,chilwell,silva,sterling,cucurella, Chukwumueka
Ongeza Mudryk,Madueke,Enzo under Potter
 
Kuanzia leo wachezaji wakienda kucheza mechi, STERLING abaki uwanja wa mazoezi afeke nyasi huku akiendelea kutafuta timu nyingine ya kucheza msimu ujao.
Sterling sio kwamba ni mchezaji mbaya sema tu Leo game imemkataa mazima hii inamtokea kila mchezaji
 
Caicedo yupo vizuri sana recently amekuwa akicheza vizuri sana hata jana alistahili kuwa man of the match sema tu hufuatilii mpira vizuri hata Jackson pia yupo good mchango wake kwenye team ni mkubwa sana
Caicedo bado, hachezi vibaya ila level ambayo kila mtu anajua anayo bado haijaonekana, ila uwezo wake unakua mdogo mdogo. Jana aliyestahili MOTM ni Gusto au Palmer ila kapewa Gusto na FA
 
Sterling sio kwamba ni mchezaji mbaya sema tu Leo game imemkataa mazima hii inamtokea kila mchezaji
Ndg, Sterling ni dangerous kabisa kwenye timu. Akicheza vizuri mechi 1, tano hadi nane anaganda kama barafu. No pressing, no defending na akipata mpira maamuzi ya kijiga jinga kama vile kapewa talaka ya kushtukiza na mwenzi wake
Ukiondoa ile assists kwa Palmer mechi yote hakufanya lolote au jitihada yeyote
 
Caicedo bado, hachezi vibaya ila level ambayo kila mtu anajua anayo bado haijaonekana, ila uwezo wake unakua mdogo mdogo. Jana aliyestahili MOTM ni Gusto au Palmer ila kapewa Gusto na FA
Caicedo sio no 6 ndio maana huooni ile level yake ila anajitahidi sana kucheza cos mzigo wa kukaba anakuwa nao mkubwa cos Enzo hakabi kivile
 
Ni mchezaji mbaya ndio maana Pep alimfukuza kama mbwa koko.
Ukimtoa Palmer sterling ndio anafuata kwa kutoa assist nyingi kwenye kikosi huwezi kuniambia ni mbaya hata hii game pamoja ya kuwa imemkataa lakini katoa assist nzuri tu kwenda kwa Palmer
 
Ndg, Sterling ni dangerous kabisa kwenye timu. Akicheza vizuri mechi 1, tano hadi nane anaganda kama barafu. No pressing, no defending na akipata mpira maamuzi ya kijiga jinga kama vile kapewa talaka ya kushtukiza na mwenzi wake
Ukiondoa ile assists kwa Palmer mechi yote hakufanya lolote au jitihada yeyote
But yeye ndio anafuata kwa assist ukimtoa Palmer
 
Jinsi Poch anavyoongelea kwenda wembley kwa mara ya pili utasema njia aliyopita ilikuwa ngumu
Kumbe njia yenyewe ni 98% amecheza na team za championship
 
Jinsi Poch anavyoongelea kwenda wembley kwa mara ya pili utasema njia aliyopita ilikuwa ngumu
Kumbe njia yenyewe ni 98% amecheza na team za championship
Ndugu kuna wakati uwe na brake. Timu za Championship zinacheza Futsol au Judo?

Kumuongelea mtu unayemchukia kila wakati ni kujiongezea magonjwa ya moyo mwenyewe. Ona vitu unavyo andika
 
Ukimtoa Palmer sterling ndio anafuata kwa kutoa assist nyingi kwenye kikosi huwezi kuniambia ni mbaya hata hii game pamoja ya kuwa imemkataa lakini katoa assist nzuri tu kwenda kwa Palmer
Sterling hafai, anaziba mwanya bure wa akina Mudryk na Madueke na sasa Chukwuemeka kukua. Auzwe kiangazi aende akakutane na wazee wenzake kule Saudi
 
Wale wanaosema Poche anafanya vizuri tofauti na msimu uliopita

Magoli iliyofunga Chelsea baada ya raundi ya 27 kuanzia 2014 hadi sasa

23/24: 47 goals - 11th
22/23: 27 goals - 10th
21/22: 52 goals - 3rd
20/21: 43 goals - 5th
19/20: 45 goals - 4th
18/19: 48 goals - 4th
17/18: 49 goals - 4th
16/17: 57 goals - 1st
15/16: 40 goals - 11th
14/15: 59 goals - 1st
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom