Dah Yale matakataka Yana lindMnofu na Halimagwaya eti alafu tumeshindwa kuyafunga daah nimeumia kinyama 😠😠😠
Sisi tuliwapiga 5, akaja mzee Ranieri akawapiga 4, citizeni wakajipigia 2. Nyie jaaho limewatoka na mkashindwa kuwapiga. Ndo mnadrop point hivyo. City tofauti ya alama 1, Sisi 2.
Mpaka dec hii inaisha kila m1 qtakaa kwenye nafasi yake.
1. Liverpool
2. City
3.Chelsea
4. Gunners
5.
6.
7. United
8.
 
Tunaingia december kafika kipindi kigumu ni hiki hapa ndio tutahitaj consistenc ya hali juu hichi ndicho kipindi tunachomuwaga funapoteana tukiweza kustahimil kipindi hichi kwa form tuliyokuwa nayo huku tukiomba tusipate majeruh ya aina yoyote

December -January hapa ndipo bingwa anapatikana n hapa ndipo city huwa anawaacha wengine, hope tuchel atatuvusha salama kipindi hiki

Dec 1 fixture iko hiv
Watford vs chelsea
Everton vs Liverpool
Aston villa vs Man city
 
Adjustments.jpg
 
Tuna tatizo dogo tu ambalo sio kwenye kila mechi. Tatizo la kufunga magoli, idara zilizobaki tuko vizuri
Vijana energy wanayo
Ball control wanayo
Passing za kasi wanazo
Concetration uwanjani iko juu
Individual prformance and tactics - bado sio nzuri, Chilwell alishaipatia hiyo mbinu ya kuingia kwenye box kuongeza nguvu na ndio amana Reeece alikuwa onfire
Nashauri nafasi ya Alonso acheze Azpilicueta, Alonso sijui kama atapanda
Hope kocha atalishughulikia tatizo la ufungaji
 
Labda pia majeruhi ya wachezaji muhimu yamewacost
Odoi alipata chance one to one akakosa....

Joginyo ndio yule....

Kila siku tunashinda na tuna majeruhi mbona...

Kikosi cha leo hakitofautiani na kile kilichocheza na Juve

Ila match ya Juve tulicheza vizuri sana
 
Tuna tatizo dogo tu ambalo sio kwenye kila mechi. Tatizo la kufunga magoli, idara zilizobaki tuko vizuri
Vijana energy wanayo
Ball control wanayo
Passing za kasi wanazo
Concetration uwanjani iko juu
Individual prformance and tactics - bado sio nzuri, Chilwell alishaipatia hiyo mbinu ya kuingia kwenye box kuongeza nguvu na ndio amana Reeece alikuwa onfire
Nashauri nafasi ya Alonso acheze Azpilicueta, Alonso sijui kama atapanda
Hope kocha atalishughulikia tatizo la ufungaji
LWB km uwezekano upo acheze CHO huku pulisic/mount akisogea mbele

Azplicueta hana pace + umri ushaenda
 
Back
Top Bottom