Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Pigaaa takataka nyie .....

Eti Jersey za njano mtakuwa bingwa ..labda bingwa wa buza kudadekiiiiii
 
Pressing gani... Mpira umesimuliwa au?
Sawa wewe ulieangalia mechi tactically nichambulie shape ya ukabaji wa man u? Ukishindwa niite nije nikusaidie

Elekea huko unajifariji man u walipaki basi
 
Sawa wewe ulieangalia mechi tactically nichambulie shape ya ukabaji wa man u? Ukishindwa niite nije nikusaidie

Elekea huko unajifariji man u walipaki basi
Sisi tumecheza utumbo ila siyo kama kuna chochote mmefanya cha ajabu.
 
Nyie wapuuzi mpo kawaida sana, sema sometimes bahati inakosa kwa kwenda

Alhamisi ntakuonesha jinsi nyumbu ninavyo mfanya
 
Alonso hana confidence
Werner ni kama hatumii akili kabisa
Sasa ligi ndio inajiweka mahali pake
Atakayetoa drro nyingi ndiye atakayekosa ubingwa kati ya Chelsea, Man city na Liverpool
 
Chance tunapata ila tunashindwa kuzitumia, ndani ya dakika 5 tu za kwanza tulikuwa tushapata chance 2 za kuscore kubwa zaidi ilikuwa ya odoi .

Majeruhi ya chilwel yanaweza kutucost sana simuoni alonso akicheza katika pace aliyokuwa nayo chilwel.

Game ijayo tuko dhid ya watford pale vincarge road siku ya j5 tunahitaji kushinda hii game.
 
Ni wakati ss wa pulisc kuanza badala ya odoi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom