Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Enzo Fernandez atakosa msimu uliosalia wa Ligi ya Premia baada ya kufanyiwa upasuaji ili kushughulikia jeraha la paja kwa wakati kwa ajili ya Copa America.

Picha chini ya Enzo baada ya upasuaji

View attachment 2973864
Enzo Fernandez juu ya jeraha lake: "Nilihitaji kupata hii surgery kwani nimekuwa nikivumilia maumivu kwa takriban miezi 6.

"Ilikuwa kitu ambacho ningeweza kuepuka wakati nikijitibu mara kwa mara kwa sindano na dawa."

Inaweka baadhi ya uchezaji wake wa hivi karibuni katika mwanga mpya.

1714157365634.png
 
Nimeambiwa mara nyingi, hata kutoka kwa watu kwenye klabu, kwamba mbinu na taratibu za mazoezi ya Pochettino, hasa ile ya ukimbiaji, "zimepitwa na wakati" na si mambo yanayofanywa na vilabu vingine. Na kwamba kimsingi ni jambo lisiloweza kujadiliwa, saizi moja inafaa sehemu zote za mafunzo yake.

1714157946759.png
 
Injury update :
  1. Nkunku - partial team training
  2. Colwill- partial team training
  3. James- partial team training
  4. Sanchez– partial team training
  5. Ugochukwu- partial team training
  6. Chilwell- rehabilitation programme
  7. Gusto- rehabilitation programme
  8. Sterling- medical assessment
  9. Chukwuemeka- medical assessment
  10. Fofana- rehabilitation programme
  11. Lavia- rehabilitation programme
  12. Enzo- Surgery successful
 
Poch sahiv yuko kwenye anger stage.
kila mtu anamtupia lawama hataki kushuka peke yake.😂😂😂
 
Naombeni link ya kuangalia Chelsea ya wanawake dhidi ya Barcelona.

cc
lembu
 
XI vs Aston Villa
Petrovic
Chalobah Silva Badiashile Cucurella
Caicedo Galagher
Madueke Palmer Mudry
Jackson
 
Mechi on ila uzi ume-stuck 😂 wachangiaji wamechoka

Tusipofungwa bc tutajifunga 😂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom