Huoni wamejaa kwenye box lao mkuu, wamepak basi lazima back basi ziwe nyingi kuwavuta.Jorg ndio chamzo cha back pas
Huoni wamejaa kwenye box lao mkuu, wamepak basi lazima back basi ziwe nyingi kuwavuta.Jorg ndio chamzo cha back pas
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tuchel afanye sub haraka sana tunaenda kudhalilika
Kawabeba kenge hawaRefa kawabeba kenge nyie
Ndezi weweHahaaaaaaa pasua hawa mbwa wa London mamaeeeeee.....
Sasa inatuhusu nini sisi?Refa kawabeba kenge nyie
Tukitoa DRAW yatakuwa matokeo ya OVYO sana
Kiukweli...yatakuwa ya hovyoTukitoa DRAW yatakuwa matokeo ya OVYO sana
[emoji38][emoji38][emoji16][emoji16][emoji16]....team pekee ya kunifunga nyumbu fc Ni majogooo tuu ....the rest mpaka itokee penatKona 15 no goal
goli gani la wazi? Mzee mmefanyiwa pressing mkapoteana hamna cha goli la wazi wala bahati ......Bahati hayakua upande wetu, Yale magoli ya wazi siyo ya kupoteza.
Hakuna faida ya attempt nyingi wala faida ya Kona nyingi.