juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,463
Kutotumia nafasi zetu ndio kimetucost, na si majeruhi, maana nafasi za kufunga tumetengeneza ila tumeshindwa kuzitumia vizuri, hio ndio football,Labda pia majeruhi ya wachezaji muhimu yamewacost