Barca wako serious na Alonso, kama inalipa auzwe, akibaki sawaAlonso umri miaka 30 mkataba wake unaisha 2023.
Ermason umri miaka 26 mkataba wake unaisha 2022.
Nadhani ni Rahisi kwa Uongozi kumuuza Ermason kuliko Alonso, kumuuza Alonso itatulazimu tena kumsajili mchezaji mwingine wa caliber yake.
Ila kumuuza Ermason sioni madhara au gap lolote atakaloliacha. Na Ermason akibaki hawezi kucover gap la Alonso.
Alonso abaki amalizie mkataba wake asaidiane na Chilwell kwenye hiyo nafasi.
Werner ni 50/50Werner yupo, msimu ujao anaweza akawasha ule moto wake wa bundasliga.
King Kai Harvetz yupo our secret Nuclear weapon
Giroud, Abraham wapo.
Tunaweza toa hiyo ofa kwa Dortmund halafu Haaland mwenyewe akakataa kujiunga the blues tutafanyaje?
Lukaku amesema bado yupo yupo Inter
Lewandoski kumchomoa Buyern ni ndoto ya mazombi
Harry kane hataki kuisikia BLUES.
Tujiandae kisaikolojia kuendelea na hawa hawa mastriker wetu (Werner, Giroud & Abraham) msimu ujao.
Hao wotee uliotaja hapo juu Hamna uwezo wa kusajili hata mmoja ,....Sioni usajili wa Haaland ukifanyika kwa cash £154.2M? Kwa cash tutashindwa.
Endapo huu usajili ukifanyika mbali na hiyo cash basi utatucost wachezaji + cash.
Haaland = Cash + Werner
Kama Sancho atakwenda Man utd
Haaland = Cash + Pulisic
Haaland = Cash + Pulisic + Abraham
Usajili Kane
Usajili Lewandoski
Usajili Lukaku 50/50
Dirisha hata halijafunguliwa, bado nafasi ya kuwasajili hao wote upoSioni usajili wa Haaland ukifanyika kwa cash £154.2M? Kwa cash tutashindwa.
Endapo huu usajili ukifanyika mbali na hiyo cash basi utatucost wachezaji + cash.
Haaland = Cash + Werner
Kama Sancho atakwenda Man utd
Haaland = Cash + Pulisic
Haaland = Cash + Pulisic + Abraham
Usajili Kane
Usajili Lewandoski
Usajili Lukaku 50/50
Dirisha lishafunguliwa mkuuDirisha hata halijafunguliwa, bado nafasi ya kuwasajili hao wote upo
Sorry nilimaanisha dirisha halijafungwa badoDirisha lishafunguliwa mkuu
Mzigo ule mtaukataa siku moja ukitua chelsea.Kuna highlights za magoli ya Belgium naangalia hapa, Lukaku linafunga sio mchezo.
Lukaku ni better than strikers tulionao kwenye kufunga, at least anaweza kufunga 20+ goals kwa msimu. Kinachokuzingua wewe ni uzito wake na anaweza kumudu huo uzito, kwani alipohamia Inter alitisha lakini aliendelea kung'ara hata pamoja na uzito huo wa 90+ KGMzigo ule mtaukataa siku moja ukitua chelsea.
Bahati mbaya ameshauzwa mil 4.5 kule alikokuwa mkopo, urusiVictor Moses arudi chamani, mfumo wa 343 ndio chakula chake. Kama Moses anarudi hakuna haja ya kusajili RWB mwingine dirisha hili labda lijalo.
Azipu, James, Mosses
Werner - Harvetz - Mount
Chilwell - Joginho - Kante - Mosses
Rudger - Thiago - James
Sasa nyie kunguni mna uwezo wa kumsajili halaand kweli ,humu ndani huwa mnajitekenya na kucheka tuWala sishangai Marina hawezi toa hiyo cash tuu £154.2M kwa Haaland. Na kama Dortmund watang'ang'ania cash tuu bila kujumlishia wachezaji wetu tutamkosa Haaland.
Game ya supercup ni muhimu sana,Kante, Azipu & Rudger wapumzike mpaka August. Tunahitaji full energy zao msimu ujao.
Kante, Azipu & Rudger wapumzike mpaka August. Tunahitaji full energy zao msimu ujao.
Paundi laki 60? Ndio kitu gani mkuu ama ulimaanisha paundi elfu 60Rudiger anataka mshahara wake wa wiki uongezwe kwa paundi laki 60 kutoka paundi laki 140 ya sasa kwenda paundi laki 200 ya mkataba mpya
"Rudiger was looking for a £20,000 pay rise on his £140,000-a-week salary, but he now wants around £200,000-a-week to commit his future to the club"