UCL Squad 2021

Ukiangalia hii squad of the season ya UCL, Chelsea waliotubeba hadi ubingwa ni mabeki viungo na kipa, kule mbele hakuna kitu ukilinganisha na oponents wetu hasa Bayern Munich, Barcelona, PSG, Real Madrid, Dortmund

Goalkeepers

Thibaut Courtois (Real Madrid)
Ederson (Man. City)
Edouard Mendy (Chelsea)

Defenders

César Azpilicueta (Chelsea)
Rúben Dias (Man. City)
Marquinhos (Paris)
Antonio Rüdiger (Chelsea)
Ben Chilwell (Chelsea)
David Alaba (Bayern)

Midfielders

Jorginho (Chelsea)
Mason Mount (Chelsea)
N'Golo Kanté (Chelsea)
Kevin De Bruyne (Man. City)
İlkay Gündoğan (Man. City)
Luka Modrić (Real Madrid)
Sérgio Oliveira (Porto)
Phil Foden (Man. City)

Forwards

Erling Haaland (Dortmund)
Kylian Mbappé (Paris)
Robert Lewandowski (Bayern)
Karim Benzema (Real Madrid)
Neymar (Paris)
Lionel Messi (Barcelona)
 
Marina kwa nini usiweke nguvu sehemu moja, to Euro mil 150 mlete halaand hapa darajani, Achana na Hakimi achana na biashara zingine

Usajili wa Striker unatosha kabisa
 
Marina kwa nini usiweke nguvu sehemu moja, to Euro mil 150 mlete halaand hapa darajani, Achana na Hakimi achana na biashara zingine

Usajili wa Striker unatosha kabisa
Deal la Hakimi lishakufa, Fabrizio anasema inter n psg wameshafikia makubaliano na mda sio mrefu hakim atathibitishwa kama mchezaj wa psg

Anasema chelsea waliwasiliana na agent wa hakimi tu, lakin hawakupeleka ofa yoyote
 
Hakim to psg
Screenshot_20210627-084836_Twitter.jpg

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Werner yupo, msimu ujao anaweza akawasha ule moto wake wa bundasliga.

King Kai Harvetz yupo our secret Nuclear weapon

Giroud, Abraham wapo.

Tunaweza toa hiyo ofa kwa Dortmund halafu Haaland mwenyewe akakataa kujiunga the blues tutafanyaje?

Lukaku amesema bado yupo yupo Inter

Lewandoski kumchomoa Buyern ni ndoto ya mazombi

Harry kane hataki kuisikia BLUES.

Tujiandae kisaikolojia kuendelea na hawa hawa mastriker wetu (Werner, Giroud & Abraham) msimu ujao.
Kama tunataka ubingwa wa epl hatuchukui kwa hicho kikosi labda tu Kama tunataka big 4
 
Haaland ameonyesha kwua yuko tayari kusajiliwa na Chelsea
Kwa sababu ya ukapa wa pesa kwenye timu nyingi, Haaland hana choice
 
Kama tunataka ubingwa wa epl hatuchukui kwa hicho kikosi labda tu Kama tunataka big 4
Tusijitoe ufahamu, mtumbukizaji wa magoli au mchana neti mzuri na wa uhakika anatakiwa darajani. Hata Aston Villa walioshika nafasi ya 11 walitusidi kule mbele
 
AZIPUCUETA & SILVA hawa jamaa umri wao umekwenda, dirisha hili wasajiliwe mbadala wao. Tusisubirie wakate ringi kabisa.
Yaani azpi fasta kawa babu miaka 31 anaonekana babu .

Au kwakua ndio mwenye muda mrefu hapo klabuni maana wenzake wengi alioanza kucheza nao hapo wamesepa .

Silva Ni injury prone haaminiki
 
Back
Top Bottom