Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,297
- 46,755
Italy itabidi wamtumpe nje Jorginho sio kesho?Timu zote zenye wachezaji wa Chelsea zaidi ya watatu Euro zimetolewa..hadi England inawaweka wote Bench.![]()
Italy itabidi wamtumpe nje Jorginho sio kesho?Timu zote zenye wachezaji wa Chelsea zaidi ya watatu Euro zimetolewa..hadi England inawaweka wote Bench.![]()
Hapo unyumbuni wamekuja mpk kina Sanchez, Lukaku, fundi wa miassist mikhitaryan lkn bilabila embu tutolee hyo mambo

Mtakuja kumkataa tuu
Ww jamaa unajiona umeleta habari za majonzi kumbe hii ni habari njema kwetuTimu zote zenye wachezaji wa Chelsea zaidi ya watatu Euro zimetolewa..hadi England inawaweka wote Bench.![]()
Timu ya kipimbi kama hii itamsajili nani sasa ,hela Hamna ,haaland kawashindaMpaka sasa hatujafanya sajili yeyote?
Hajawai kwenda mkuuDogo anasepa mkopoView attachment 1837331
Hajawai kwenda mkuu Bali zimebaki kua tetesu tuuuDogo anasepa mkopoView attachment 1837331
TT alisema wachezaji wawili au mmoja wanatosha, targeted nadhan ni haalandMpaka sasa hatujafanya sajili yeyote?
Kikosi Cha Chelsea kinatakiwa tusajili washabuliaji wawili tuuu haitakiwi kuhalibu kikosiTT alisema wachezaji wawili au mmoja wanatosha, targeted nadhan ni haaland
Hivi ushafika mwanza kwa buku 15Timu ya kipimbi kama hii itamsajili nani sasa ,hela Hamna ,haaland kawashinda
Timu ya kipimbi kama hii itamsajili nani sasa ,hela Hamna ,haaland kawashinda
Grealish anatua etihad soon ...!We ni kenge tu, hilo kundi lako la vikoba mpaka sasa nn imefanya?
Endelea na tetesi, yani jitekenye na ucheke mwenyewe.Mpaka sasa hatujafanya sajili yeyote?
Ni bonge la golikipa sema umri umeendaWakati tunamsajili Keppa hatukumuona huyu kipa wa uswis aisee