Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Na kuwaonesha kwmba amebadilika sana siku hzi kwny lile kono la nyani alitupia 2 kutoka kwny mguu wake🤠🤠...mwsho wa msimu tutawaongezea aftatu Hawa majirani zetu
Unaifunga chelsea isiyo na ice cold palmer ndg mgetufunga hii engine ikiwepo tulikuwa na mashindano ya magari wakati gari letu halina engine
 
Simaanishi kuwa Jackson ni bora kuliko Palmer ila unataarifa kuwa Jackson ana magoli mengi kuliko Palmer ukiondoa penalty za Palmer?

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
Hapa cha kuangalia chelsea akiwa na palmer ice cold inachechezaje na asipokuwepo inachezaje? Huyo chalii kila kitu cha chelsea kinapitia kwake pre assist&assists ,anaamua team icheze vipi .akikosekana team inapoteana
 
Unaifunga chelsea isiyo na ice cold palmer ndg mgetufunga hii engine ikiwepo tulikuwa na mashindano ya magari wakati gari letu halina engine

Labda angesaidia lakini elewa pia tuliweza kuwadhibiti kwenye chances. Mambo yenu yaligoma siku ile, huku sisi mipira ambayo kwa kawaida isingekuwa goli, yalikuwa magoli. Mfano magoli ya Kai, la kwanza mpira ulimgusa kipa, siku ingine ingekuwa save. La pili siku ingine lingetoka nje au kipa angeokoa.

Magoli ya Ben White, la kwanza lingekuwa offside kama Saliba asingemzuia Enzo kutoka kwenye box na akaendelea kuwa last defender. La pili alikuwa anacross mpira ukaingia. Hatujui ingekuwaje angecross tu, je wapokeaji wangefunga?

Vyovyote vile naamini ile mechi ilikuwa lazima tuwafunge tu.
 
Kutufunga sikatai ila ingekuwa ngumu sio 5-0 refer game za chelsea agaist big six zote kabla ya mechi ya arsenal sisi ndio tumeleta chaos kwenye game nyingi, hako kadogo kana affect pakubwa sana haswa shape ya team ,5-0 hapana tungepata goli 2 hadi 3
 
Ndio maana nikasema pia mambo yenu yaligoma huku yetu yalikubali. Sidhani kama mgepata hata goli moja. Sisi tumekuwa wagumu sana kufungwa siku hizi, ila tusingewafunga 5.
 
Ko Palmer ndo beki yy kiungo yy kipa yy forward yy....unaongea kama kilaza mkuu..kausha
2-2 stanford bridge unafikiri palmer alikuwa nani? .Jifunze kitu kinaitwa control ya mechi ,kuna wachezaji wana control mechi nzima,jiulize kwanini mlipaki basi etihad kwa city wakati Emirates mlijitutumua ?Jiulize kwanini Arsenal game jaribu zote anaanzia buldup nyuma lakini game ya chelsea stanford,emirates against spurs ,buyern game zote mbili na city etihad alikuwa anabutua watu wagombanie.
 
bwana mkubwa yeye anachoamini palmer angekuwepo
bali tusingewadhalilisha namna ile
Haya upande wa defence haikuwa ya first eleven chalobah na Silva ndio first choice yetu lakini hawakuanza mpaka tunapigwa 5 ndio kocha anajifanya kuwaingiza pia upande wa RB hatukuwa na Agusto
 
Haya upande wa defence haikuwa ya first eleven chalobah na Silva ndio first choice yetu lakini hawakuanza mpaka tunapigwa 5 ndio kocha anajifanya kuwaingiza pia upande wa RB hatukuwa na Agusto
Mnaanza kutaja walokosekana sio🤠🤠...huwa wakiwepo wte kwani mnatufunga...nyny kausheni tu kono la Sokwe limekuwa funzo kwenu...baada ya pale na Enzo akaenda hospital kabisa
 
Nyny hamna mpira wa kutupakisha basi ss...yaani mje kwetu halafu hako Ka Palmer ndo ka control mechi mbele ya Partey🤠🤠🤠....ona aibu sio unaongea kama amateur kwny mpira...nyny hata angekuwepo hyo kijana wenu kipigo kilikuwa palepale
2-2 stanford bridge unafikiri palmer alikuwa nani? .Jifunze kitu kinaitwa control ya mechi ,kuna wachezaji wana control mechi nzima,jiulize kwanini mlipaki basi etihad kwa city wakati Emirates mlijitutumua ?Jiulize kwanini Arsenal game jaribu zote anaanzia buldup nyuma lakini game ya chelsea stanford,emirates against spurs ,buyern game zote mbili na city etihad alikuwa anabutua watu wagombanie.
 
Niliangalia ratiba ya Newcastle ana game na Man U.

Kuna uwezekano kama tukishinda game zote zilizobaki tukamaliza nafasi ya 6.
 
Chelsea Men’s Player of the Year

1715126959709.png
 
  1. Chelsea imewanunua wachezaji makinda wengi sana -
  2. Je Chelsea imnunue tena Estevão Willian - Ndiyo
Huyu niu highbrid player type ya akina Messi, Endrick, Paez, Yamal na wengineo
Kumuachia huyu wakati tumefikia pazuri itakuwa aibu ya mwaka

Mpango wa Palmeiras ni kumuuza Estêvão kwa Chelsea na bado watambakisha mchezaji huyo kwa ajili ya Kombe la Dunia la 2025 [litakalochezwa Desemba, 2025]. Mchezaji huyo atabaki hadi mwisho wa msimu ujao utakaoishia 30 June 2025.

Kimsingi watajiunga na Chelsea pamoja na Kendry Paez
Wote wanacheza zaidi winga wa kulia au no. 10/CAM

Kutoka kwa Fabrizio Romano
Chelsea wanaendelea kufanyia kazi dili la Estevão Willian. Majadiliano yameendelea kufanyika tangu Oktoba na mchezaji wa 2007 mwenye kipaji asili ya Brazil anaendelea kuwa kenwye orodha ya juu kabisa ya klabu ya Chelsea.

‘Messinho’ ana kipengele cha kuachiliwa (RC) ya €60m na hakuna klabu iliyoamua kutumia hiyo RC hadi sasa.

Barcelona bado wanawasiliana kwa upande wa wachezaji.

1715127073541.png
 
Conor Gallagher won Chelsea Players player of the year
1715130971656.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom