van Ginkel kakaa Chelsea miaka 8, duh. Ina maana miaka yote alikuwa majeruhi??

1624851746913.png
 
Alonso umri miaka 30 mkataba wake unaisha 2023.

Ermason umri miaka 26 mkataba wake unaisha 2022.

Nadhani ni Rahisi kwa Uongozi kumuuza Ermason kuliko Alonso, kumuuza Alonso itatulazimu tena kumsajili mchezaji mwingine wa caliber yake.

Ila kumuuza Ermason sioni madhara au gap lolote atakaloliacha. Na Ermason akibaki hawezi kucover gap la Alonso.

Alonso abaki amalizie mkataba wake asaidiane na Chilwell kwenye hiyo nafasi.
Barca wako serious na Alonso, kama inalipa auzwe, akibaki sawa
 
Werner yupo, msimu ujao anaweza akawasha ule moto wake wa bundasliga.

King Kai Harvetz yupo our secret Nuclear weapon

Giroud, Abraham wapo.

Tunaweza toa hiyo ofa kwa Dortmund halafu Haaland mwenyewe akakataa kujiunga the blues tutafanyaje?

Lukaku amesema bado yupo yupo Inter

Lewandoski kumchomoa Buyern ni ndoto ya mazombi

Harry kane hataki kuisikia BLUES.

Tujiandae kisaikolojia kuendelea na hawa hawa mastriker wetu (Werner, Giroud & Abraham) msimu ujao.
Werner ni 50/50
Havertz is a talented player lakini sio mfungaji kama Haaland
If we are serious hatuna chopice ila ni kusajili mfungaji wa magoli yatakayotosheleza kubeba ndoo
Tusipofanya hivyo, tujiandae kisaikolojia kugombea nafasi ya 4 na tukipata hiyo tushangilie kama tulivyofanya miaka yote minne iliyopita
 
Sioni usajili wa Haaland ukifanyika kwa cash £154.2M? Kwa cash tutashindwa.

Endapo huu usajili ukifanyika mbali na hiyo cash basi utatucost wachezaji + cash.

Haaland = Cash + Werner

Kama Sancho atakwenda Man utd

Haaland = Cash + Pulisic

Haaland = Cash + Pulisic + Abraham

Usajili Kane
Usajili Lewandoski
Usajili Lukaku 50/50
Hao wotee uliotaja hapo juu Hamna uwezo wa kusajili hata mmoja ,....

Mnajitekenya na kucheka wenyewe tu
 
Sioni usajili wa Haaland ukifanyika kwa cash £154.2M? Kwa cash tutashindwa.

Endapo huu usajili ukifanyika mbali na hiyo cash basi utatucost wachezaji + cash.

Haaland = Cash + Werner

Kama Sancho atakwenda Man utd

Haaland = Cash + Pulisic

Haaland = Cash + Pulisic + Abraham

Usajili Kane
Usajili Lewandoski
Usajili Lukaku 50/50
Dirisha hata halijafunguliwa, bado nafasi ya kuwasajili hao wote upo
 
Jeshi kutoka kwenye mkopo watakuwepo kwenye pre-season akiwemo Bakayoko, Victor Moses, Malang Sar, Ross Barkley, Conor Gallagher, Armando Broja, RLC, Ampadu
 
Mzigo ule mtaukataa siku moja ukitua chelsea.
Lukaku ni better than strikers tulionao kwenye kufunga, at least anaweza kufunga 20+ goals kwa msimu. Kinachokuzingua wewe ni uzito wake na anaweza kumudu huo uzito, kwani alipohamia Inter alitisha lakini aliendelea kung'ara hata pamoja na uzito huo wa 90+ KG
 
Victor Moses arudi chamani, mfumo wa 343 ndio chakula chake. Kama Moses anarudi hakuna haja ya kusajili RWB mwingine dirisha hili labda lijalo.

Azipu, James, Mosses

Werner - Harvetz - Mount

Chilwell - Joginho - Kante - Mosses

Rudger - Thiago - James
Bahati mbaya ameshauzwa mil 4.5 kule alikokuwa mkopo, urusi
 
Marina anajua bargaining, anazushiwa au anatania
Haaland = Abrahama + paundi mil 60
 
20, Julai wachezaji wataanza kuwasili kujiandaa na msimu wa 2021/22. Tarehe 1, Agosti tunacheza na Asenane, kisha tarehe 5, Agosti tunacheza na Tottenham mechi za kirafiki tu. Pia tarehe 11, Agosti tunacheza fainali ya Super Cup. Hivyo kwenye michezo hiyo miwili ya Pre Season baadhi ya wachezaji hawato kuwepo, full kikosi kitakuwa kwenye Super Cup.
 
Rudiger anataka mshahara wake wa wiki uongezwe kwa paundi laki 60 kutoka paundi laki 140 ya sasa kwenda paundi laki 200 ya mkataba mpya
"Rudiger was looking for a £20,000 pay rise on his £140,000-a-week salary, but he now wants around £200,000-a-week to commit his future to the club"
 
Rudiger anataka mshahara wake wa wiki uongezwe kwa paundi laki 60 kutoka paundi laki 140 ya sasa kwenda paundi laki 200 ya mkataba mpya
"Rudiger was looking for a £20,000 pay rise on his £140,000-a-week salary, but he now wants around £200,000-a-week to commit his future to the club"
Paundi laki 60? Ndio kitu gani mkuu ama ulimaanisha paundi elfu 60
 
Back
Top Bottom