lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 16,466
- 21,901
Adama kasema anataka kurudi nyumbani kwao BarcelonaKuna habari nimeona Tuchel kassugest Kwa viongozi km dili la achraf hakimi likishindikana waende Kwa adama traore wa wolves aje acheze as RWB
Adama kasema anataka kurudi nyumbani kwao BarcelonaKuna habari nimeona Tuchel kassugest Kwa viongozi km dili la achraf hakimi likishindikana waende Kwa adama traore wa wolves aje acheze as RWB
Hakuna kitu kama ikooChelsea kucheza na Arsenal na Spurs kwenye pre-season
Hujui kitu nyamaza kabisaHakuna kitu kama ikoo
Wewe unajua nini hasa ,unalopoka tuuHujui kitu nyamaza kabisa
Ulikuwa unabishia nini sasa wewe au ulizaliwa kubisha tu!!Haya sasa ,huu ndio muda wa kuifunga arsenal View attachment 1826876
Yeah kuna haja ili wachezaji wapate Match fitnessHivi timu isipofanya usajili kabisa (Mkopo au Manunuzi) ikabaki na wachezaji wale wale waliomaliza msimu, kuna haja ya kwenda pre-season?
Au pre-season ipo kibiashara zaidi?
Ushabiki kwa man City umekushinda na sasa umehamia chelsea, karibu sana mkuu, hii ndo ile timu bora Ulaya unayoiona kwenye tvHaya sasa ,huu ndio muda wa kuifunga arsenal View attachment 1826876
Wew nyau ,arsenal mnaiweza match kama hizo ,ikashaingia epl ,huwa mnakata mauno tu mkikutana na arsenalUshabiki kwa man City umekushinda na sasa umehamia chelsea, karibu sana mkuu, hii ndo ile timu bora Ulaya unayoiona kwenye tv
Sasa hv muda wote upo jukwaa hili, vp huko kwako kuna kunguni.?Wew nyau ,arsenal mnaiweza match kama hizo ,ikashaingia epl ,huwa mnakata mauno tu mkikutana na arsenal
Wewe ni nani mpaka unipangie sehem ya kucomment ..Sasa hv muda wote upo jukwaa hili, vp huko kwako kuna kunguni.?
Ila kwenye kombe hili hakuna sehemu tulipita na goal la away. Msimu huu.BREAKING: The away goals rule will be removed from all UEFA club competitions from the 2021/22 season.
@Goal233
Nimefurahi sana, hakuna kitonga.BREAKING: The away goals rule will be removed from all UEFA club competitions from the 2021/22 season.
@Goal233