Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,169
- 21,305
Hii timu ni takataka tu ,kuchukua uefa kwa kubahatisha kama 2012 ..Umeshafuta aibu na sasa umejitutumuia kuja tena na porojo
Mimi sioni hata maajabu ya hii timu ,inachezacheza tu idiot !!!
Mara et inamtaka haaland ,haaland hawezi kuja kucheza soka la kubahatisha wewe,usifikili CL ya kubahatisha ndio inaweza kumlata haaland hapo chelsea ,..!
Haaland anahitaji €400k per week ,hakuna mchezaji hapo chelsea wala chelsea yenyewe haina uwezo wa kumlipa hio hela ...
Kazi ni kujaza ujinga mara oooh haaland, haaland ,haaland ??
Tumieni akili nyie madogo ...
Haaland hawezi kuja chelsea never
Over