Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mancity ni timu ndogo sana ulaya inazidiwa na nottingam forest
Bisha tuone
PainKiller
Yaah ni timu ndogo sana ,imechukua epl msimu huu + carabao + CL final ...

Sasa hio nottingam forest hata league kuu haipo ,nikisema wewe ni kilaza utabisha ,

Unaleta mambo ya historia kwenye current football ???

Siwezi bishana na timu ambayo vikombe vyao ni hivi vilishaexpire kiufupi

IMG-20210604-WA0024.jpg
 
Wewe level yako ya ushabiki ni ya Simba na Yanga, iletagi hoja wala hujibu hoja.....nikelele tu kama tu. Acha watu walete taarifa na uchambuzi, utalejea badaye ligi ikianza mwezi wa nane.
Kai,mount ,Werner hao hawana maajabu yeyote hapo kwenye league ya kibabe ...

Kama wanaweza waoneshe uwezo this season ,wachukue PL ndio tuanze kudiscus ukubwa wao ...

Sio unaleta hoja kwa mihemko et kai ni mchezaji mkubwa ,kwa lipi hasa??

Kai akitoka Chelsea hawezi pata namba city ,Liverpool hata man utd labda Sheffield united huko na westham ,sasa unataka ukubwa gani ...

Leta takwimu za kai ,then useme ukubwa wake uko wapi ?
 
Sisi hatuna shida ,as long as we play good football ,trophies its bonus ...

Nyie kama mnakamia makombe ni nyie ,sisi tunarelax , CL is their to stay tutachukua hata 2050...

Tunachotaka ni burudani la tiktak football from our best manager pep ...

This is our city we go ...

Tunacheza mpira kama play station
Yaan mwarabu ametumia zaid dollar billion 1 kutengeneza kikosi alafu unamwambia hutaki makombe unataka kucheza kama playstation unaakili kweli
 
Yaan mwarabu ametumia zaid dollar billion 1 kutengeneza kikosi alafu unamwambia hutaki makombe unataka kucheza kama playstation unaakili kweli
Soka ni burudani na burudani ziko kwa ze cityzen ..

We first create good form of playing football then makombe yatakuja yenyewe tu ...
 
Soka ni burudani na burudani ziko kwa ze cityzen ..

We first create good form of playing football then makombe yatakuja yenyewe tu ...
Makombe hayaji yenyewe yanapambaniwa Chelsea kipindi cha Lampard tulikua tunacheza mpira mzuri mechi ikiisha tumefungwa akatupeleka mpka nafasi ya 9 kwenye ligi
 
Makombe hayaji yenyewe yanapambaniwa Chelsea kipindi cha Lampard tulikua tunacheza mpira mzuri mechi ikiisha tumefungwa akatupeleka mpka nafasi ya 9 kwenye ligi
Kama mlikuwa mnafungwa basi mlikuwa hamchezi mpira mzuri ....
 
Yaah ni timu ndogo sana ,imechukua epl msimu huu + carabao + CL final ...

Sasa hio nottingam forest hata league kuu haipo ,nikisema wewe ni kilaza utabisha ,

Unaleta mambo ya historia kwenye current football ???

Siwezi bishana na timu ambayo vikombe vyao ni hivi vilishaexpire kiufupi

View attachment 1813146
Nottingham forest ana uefa 2 na Super cup 1. Wewe man city una nini kama siyo umening'iniza kengele zako tu.
 
Mzee angalia na wapinzani anaocheka nao nyavu ...yeye ni finisher mzuri Sawa Ila km unataka kombe la EPL huwezi mtegemea wkt wenzako unakuta wamemsajili kane

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Hujaelewa point yangu, cjasema tumtegemee Giroud, at that tym ndio yeye ndio tuliokua nae sasa ilikua ni sawa kucheza bila striker wkt giroud yupo?
 
Hujaelewa point yangu, cjasema tumtegemee Giroud, at that tym ndio yeye ndio tuliokua nae sasa ilikua ni sawa kucheza bila striker wkt giroud yupo?
Hyo mada ishaisha Mzee sahv tuombe dili la halaand litiki Tu ....tumechukua biggest title basi...plan ya kocha haikuenda vzuri kutokumwanzisha giroud games z mwshoni hizi I hope amejifunza ..hata pep plan yake kuanza bila holding midfielder game ya final ilimfelisha kiasi chake....

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Nottingham forest ana uefa 2 na Super cup 1. Wewe man city una nini kama siyo umening'iniza kengele zako tu.
Weww ni mbwa tu hio Nottingham forest takataka ya miaka 90 ndio unalinganisha na city ..

Hujielewe hata uefa haikuwepo sijui ilichukua uefa gani ,....

imachukua European cup ,yaan miaka hiyo 1979 na 1980 ,uefa ilikuwa haipo kwanza

Sikujua kama Chelsea kuna vilaza namna hii ...

We talk about current issue ,unalinginisha takataka za 90 na watu wa 2021 ? Unaakili kweli wewe ..

Hata huko shulen umeenda kupoteza muda tu ,hujielewi
 
Bro hebu tulia kwanza,
Hivi uefa ni nini,yamkini unaongea usichokijua,ni timu ipi imewahi ichukua uefa

Maurizio Sarri has just signed his contract as new Lazio manager until June 2023. Official
1623309633375.png
 
Weww ni mbwa tu hio Nottingham forest takataka ya miaka 90 ndio unalinganisha na city ..

Hujielewe hata uefa haikuwepo sijui ilichukua uefa gani ,....

imachukua European cup ,yaan miaka hiyo 1979 na 1980 ,uefa ilikuwa haipo kwanza

Sikujua kama Chelsea kuna vilaza namna hii ...

We talk about current issue ,unalinginisha takataka za 90 na watu wa 2021 ? Unaakili kweli wewe ..

Hata huko shulen umeenda kupoteza muda tu ,hujielewi
Hizi zote ni hasira sababu hauna european cup yoyote?

Hivi hata Uefa huwa unaangalia kweli wewe matakataka? Maana huwa wanaonesha timu zilizowahi beba lile kombe kuanzia miaka ya 50 wakati kombe linaanza. Huwa unaiona Man city pale?

Kwanini wasooneshe tu waliobeba from 92 baada ya format kubadilika?

Unataka tuzungumzie currents? Hebu niambie hiyo man city yako imeizidi nini chelsea kwenye hizo currents?

Naona unatafuta Bwana kwa bidii zote.
 
Bro hebu tulia kwanza,
Hivi uefa ni nini,yamkini unaongea usichokijua,ni timu ipi imewahi ichukua uefa
CL imeanza 1992 /93 kama sijaokosea ,sasa hao wamechukua CL lin ?

Yalikuwepo mashindano barani ulaya yanaitwa european cup miaka 55 ilianzishwa na badae ndio update ikatokea wakarekebisha na kuita CL then ,hiyo timu toka European cup iwe CL haijawahi chukua ,....

Hata Chelsea haikuchukua kipindi hiko ,imekuja kuchukua kwa Mara ya kwanza 2012 CL kwa iyo na nyie mbwa hio timu imewazid?

Timu mpaka sasa ishapotea kwenye ramani ya soka unalinganisha na city ,uko na akili timamu kweli

Tatizo madogo humu ni empty headed ,zero brain
 
Hili deal la achraf hakim nimepitia mitandaoni wapo wanamkubal na wapo wanaomkataa
Wanaomkataa wanasema ni mchezaj wa system mmoja yani 343 /352 na hiyo bei yake ya 68M kwa mchezaj wa system moja ni kubwa na isitoshe chelsea makocha hawakai sana, na mpaka sasa hakuna anayejua formation Tuchel ataitumia msim ujao,
Je siku tukicheza na back four je achraf hakiim ataperform kama anavyoperform kwenye anapocheza rwb
Vipi kuhusu reece james na azplicueta, sawa tunaweza sema azp umri umeenda bt still ataendelea kucheza hata kama sio mechi zote bt zipo atakazocheza

Ngoja tuone kipi kitatokea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom