OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,389
- 24,507
Hahahahaha Kai, unamjua Kai wewe?Mpiganaji mzoefu ??
Wazoefu ni kina drogba na walishaondoka ..
Kesho uwanjan wapo wale vinabo werner ,mount ,kai ambao hawajawai cheza final ya CL
Hahahahaha Kai, unamjua Kai wewe?Mpiganaji mzoefu ??
Wazoefu ni kina drogba na walishaondoka ..
Kesho uwanjan wapo wale vinabo werner ,mount ,kai ambao hawajawai cheza final ya CL
Mess na cr7 tupa kule
😂😂😂😂 mkamateni huyuYani nipo lazi nibakwe ila sio cheltako ashinde leo cheltako akishinda leo nikamatwe nibakwe.
Namtafuta arsenal simuoni hapo vip tena au anacheza lig ya uhoranzi
Waungwana mfahamu kuwa Mchezo wa leo ni fainali sio ligi na mchezo unachezwa mara moja tu kwa dakika tisini. Timu zote mbili Chelsea na Man City, wachezaji wote wa timu mbili yaani wachezaji wa Chelsea na Man City na makocha wote wawili Pep na TT wote hili kombe wanalihitaji sana. Niwambie tu timu zote mbili leo zitacheza kwa nidhamu kubwa mno, pia tusitalajie mchezo mzuri bali tutalajie mchezo mgumu sana. Timu zote mbili naona zikiingia kwa mfumo wa kujilinda na kushambulia kwa kushtukiza. Pep tayari ana onyo kutoka kwa TT hivyo hawezi kuja kijinga jinga tu, akija kijinga jinga tena atapokea za uso. TT nae anaelewa uzuri wa Man City na madhaifu ya safu yake ya ushambuliaji hivyo lazima leo atabadilika tu.
Mshindi wa leo atatokana na mbinu tu, na si ubora wa wachezaji. Mchezo wa leo ndio mtajua umuhimu wa kocha ama mwalimu katika mpira. Leo msitishwe na majina ya wachezaji kama KDB, Mahrez, Foden, Gundogan, Dias, Rudiger, Kante, Mount, Pulisic na wengineo wote. Hao wote na wengineo leo mtawakataa na kusema ndio hawa kweli, naam watakuwa wao na wala si wengine. Leo ni vita ya mbinu tu, leo ni ugomvi baina ya TT na Pep hao wachezaji wataingia uwanjani wakiwa kama wajumbe wa kufikisha hizo mbinu za walimu wao.
Msitarajie mechi kuanza kwa kasi, mechi itaanza kwa kila kocha kumsoma mwenzake yuko vipi ama amekuja vipi. Na kipindi cha kwanza kinaweza malizika kwa suluhu ya bila kufungana, kipindi cha pili kitabadilika kidogo tofauti na kipindi cha kwanza. Kama nilivyo sema huko juu leo timu zote mbili zitacheza kwa kujilinda sana, mchezo utabadilika baada ya timu moja kupata angalau goli moja.
Kwa uchache hayo ndio naona leo yakienda kutokea, karibu kwa masahihisho.
Hii game tujitahidi tuimalize kipindi cha kwanza, nimeona kikosi cha Man City hakijabalance kabisa, Pep naona anakuja na mbinu ya kushambulia muda wote.
Hazard hakulazimisha kuondoka, aliyelazimisha ni yule kipa. Hazard anaweza kurud Chelsea mana hakuondoka kwa dharau.Alilazimisha kuondoka
Tumekuja mjiandae
Cheltako mkishinda nawapa mimi na wife wangu kama bonus kutesa kwa zamu wenzenu manulee tushapoa vifuraha vimeanza kurejea.
Duh kumbe shabiki la arsenali... Kunya tu hapo kwako uzoe mwenyeweUkibeba kombe nakunya kutoka Mwenge mpaka Posta,trust me Mark my words
Ukibeba kombe nakunya kutoka Mwenge mpaka Posta,trust me Mark my words
Pumbavu, chupi la mtumbaMie kwangu kante ssa nahis kawazid mafanikio mess na Ronald cr7
Boya kweli wewe, na arsenal yako ya viwanda😅😅Ukibeba kombe nakunya kutoka Mwenge mpaka Posta,trust me Mark my words
Kalivaaa klop the lina mikojo haha kitoabu kma kitoambuPumbavu, chupi la mtumba
Povu la nini mkuu wakati ni maoni ya mdauPumbavu, chupi la mtumba