1622325012554.png
 
Kwanza kabisa nimefurahi kwa Tuchel a.k.a mastermind kubadilisha msimu wetu ambao ulikuwa sio mzuri chini ya Lampard kuwa msimu wa nehema.


Kitu Cha pili Thiago silva kubeba hii ndoo msimu uliopita alikosa na performance alideserve this trophy maana alilipigania Sana na atimae kachukua.


Kitu Cha tatu special hii iende kwa world class midfielder beast Ngolo kante ndio man of the match today bila kumsahau Kai havert performance was very exceptional bila team nzima ya Chelsea pamoja na Big boss wetu ROMAN ABRAMOVIC 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mount haachwi hapo, never, goli yeye ndi mpishi Kai kapakua tu
 
Ni kweli but elewa pia bahati ilikuwa upande wetu! Imagine mechi mbili in a row, semi and final stages wapinzani wa Chelsea walikosa penati 4. Si jambo la kawaida. Halafu penati 2 kati ya hizo zilisababishwa na mtu mmoja ambaye pia ndiye magoli yake yalisababisha ubingwa kwa Chelsea, Didier Drogba (The beast!)
Mechi ya kesho, ushindi kwa Chelsea utapatikana kwa bahati ikiwa madogo wataendekeza ujinga wa kukosa magoli ya wazi na pia kuotea mara kwa mara.
tulikwambia mpira sio rede au drafti.
 
That is our best elecen kwa sasa..

Nakumbukua nimewai kusema hapa, baada ya kufungwa na Leicester fainali..
Kwamba tungechezesha kikosi kama hichi cha leo Leicester lazima angeoga goli za kutosha tu..

Sema all and all, uefa is the biggest of all..

Congrats tuchel, congrats Chelsea lads

Sisi ni mabingwa wa ulaya 2020/2021.
Kuna kitu nilikua nakiwaza nahis TT alikua anawaza kama nilivyokua nawaza, ni hivi hichi kikosi TT hakukitumia kwnye Final y FA sababu PEP angekisoma kikosi chake cha maangamizi, ndio mana alibadilisha wachezaji, na ndio mana mechi za hivi karibuni alikua hata haeleweki anavyopanga wachezaji. Na nilijua kikosi cha leo kitakua kile cha Madrid, na tutashinda kirahis na kweli imekua hivyo.

Amini nakuambia tungepanga kikosi hichi final ya FA tungebeba, ila UEFA tungepoteza.
 
Leo mkifunga hiki kikos ,ndio man city hii sio kina sterling hawaaa

---------- Erdeson -------

Walker -----stone----dias----zincheko

Gundogun-------frenandinho -------bernado

Mahrez --------KDB-----Foden



Mkitufunga hapo 90min full ,chelsea win kwa hicho kikosi ,basi nitanyoosha mikono kuwa saaa tushakuwa vibonde ....

Come on city
Naona mshakua vibonde
 
Manchester City vs Chelsea UCL Final Player Ratings

Manchester City


  1. Ederson - 6
  2. Kyle Walker - 7
  3. John Stones - 6
  4. Ruben Dias - 6
  5. Oleksandr Zinchenko - 4
  6. Ilkay Gundogan - 4
  7. Bernardo Silva - 3
  8. Riyad Mahrez - 5
  9. Raheem Sterling - 4
  10. Phil Foden - 5
  11. Kevin de Bruyne - 6
SUBS
  1. Gabriel Jesus - 6
  2. Fernandinho - 6
  3. Sergio Aguero - 5
CHELSEA
  1. Edouard Mendy - 7
  2. Cesar Azpilicueta - 9
  3. Thiago Silva - 7
  4. Antonio Rudiger - 8
  5. Reece James - 8
  6. Jorginho - 8
  7. N'Golo Kante - 9
  8. Ben Chilwell - 9
  9. Mason Mount - 8
  10. Timo Werner - 7
  11. Kai Havertz - 9
SUBS
  1. Andreas Christensen - 8
  2. Christian Pulisic - 7
  3. Mateo Kovacic - 6
 
Back
Top Bottom