nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 4,606
- 7,187
SawaUtapigwa wewe
SawaUtapigwa wewe
Kachezea vichapo Sana Kwa style hyohyo Vs Leicester goli 5, Vs Leeds goli 2, spurs goli 2, nyumbu goli2, Chelsea pia goli 2....Pep kesho ataingia uwanjani kwa kujilinda huku akishambulia kwa kushtukiza, nimemsikia akielezea jinsi chelsea inavyo cheza kwa sasa hivyo lazima aingie kwa kujilinda sana. Chelsea tunapata shida sana tukikutana na timu inayo jilinda sana inakuwa ngumu sana kupata goli, Pep alitizama mchezo wetu dhidi ya Villa hivyo lazima aende na ile mbinu. Naona kabisa hapo kesho Pep ataruhusu tumiliki mpira.
Pep akijichanganya tu atushambulie ama afanye high press amekwisha. Hiyo kitu asije akathubutu kabisa, ule ujinga wa kupeleka wachezaji wote kwenye lango la mpinzani kisha wachezaji wanapigana pasi hapo hapo golini kwako asije akafanya huo ujinga. Najua kabisa Pep amejua namna ya ku deal na sisi ila atapata shida sana hapo kesho.
Chelsea tunatatizo la umaliziaji ,kushinda Itakuwa bahati sana.Ni kweli but elewa pia bahati ilikuwa upande wetu! Imagine mechi mbili in a row, semi and final stages wapinzani wa Chelsea walikosa penati 4. Si jambo la kawaida. Halafu penati 2 kati ya hizo zilisababishwa na mtu mmoja ambaye pia ndiye magoli yake yalisababisha ubingwa kwa Chelsea, Didier Drogba (The beast!)
Mechi ya kesho, ushindi kwa Chelsea utapatikana kwa bahati ikiwa madogo wataendekeza ujinga wa kukosa magoli ya wazi na pia kuotea mara kwa mara.
Ndio KanaliWe jamaa kuanzia leo nimekushusha vyeo.
City na Chelsea wako sawa nyuma na kati, tunatofautiana tu kule mbele, najua mashabiki wanaishi kwa imani zaidi kuliko waumini wa dini, ila mpira ni sayansi, kubahatisha ina nafasi ndogo na ndio hiyo nafasi ndogo kesho tutaitumiaIngekuwa defense na kipa wetu ni tia maji ningekubaliana na hiki ulichoandika hapa.
Boss mbona hueleweki, mganga wako amekuambia mnashinda ngapi, mbona kama ana-bahatisha kukupa hiyo idadi ya magoli.? Au mganga wako ni binti malaya kila kitu anadandia tuu.?Kesho tuwapige goli ngapi hahaaa
Man city 3- 1 Chelsea
Kesho aguero hachezi ...
- Kesho ili tushinde, sharti City anyimwe kukaa na mpira hasa katikati na hasa KDB
- Hata wakiposess sana ila iwe ni kwa mabeki tu
- Pili Aguero asicheze
- Tatu, Jorginho asicheze
- Kante awe kwenye form has ile ya RM
- Kule mbele Werner acheze na Ziyech na wawe kwenye form
ubovu wake ni kuikuta timu ya 9 kuirudisha top 4 na fainali ya uefa?
Hujui mpira kashangilie mzikiChelsea tuna kocha mbovo haijawahi kutokea
Wewe unataka goli ngapi ..Boss mbona hueleweki, mganga wako amekuambia mnashinda ngapi, mbona kama ana-bahatisha kukupa hiyo idadi ya magoli.? Au mganga wako ni binti malaya kila kitu anadandia tuu.?
Mechi ya kesho kila timu na kila mchezaji atakuwa tumbo joto. Ni mechi kubwa na timu itakayokuwa na wachezaji watakaotulia na kufanya kama walivyofundishwa ndio watakaoshinda. Panic ndogo tu itasababisha kufungwa. Timu itakayotangulia kufunga hasa kwenye dakika za lala salkama kama kuanzia dk ya 70/80 ndie atakuwa bingwaTatizo ni kuwa hatuwezi kufungwa na takataka kama Chelsea mara tatu mfululizo kudadekiii...
Yaan wachezaji wote wapo na moto ...
Mtajuta kuingia uwanjan nyie madogo wa darajani ,
Man city 6- 0 chelsea
Come on city
Villa wa nn angalia ulipokutana na Chelsea ilikuajeChelsea hakuna timu pale ...
Villa kajipigia ,..
Kesho tunawasokomeza goli 6,mtajuta kuingia uwanjan
Mkuu Hizo ni mind game akijichanganya kujilinda tu ameisha city hawana wachezaji wa kujilinda hua wanajilinda kwa kukaa na Mpira muda mrefuPep kesho ataingia uwanjani kwa kujilinda huku akishambulia kwa kushtukiza, nimemsikia akielezea jinsi chelsea inavyo cheza kwa sasa hivyo lazima aingie kwa kujilinda sana. Chelsea tunapata shida sana tukikutana na timu inayo jilinda sana inakuwa ngumu sana kupata goli, Pep alitizama mchezo wetu dhidi ya Villa hivyo lazima aende na ile mbinu. Naona kabisa hapo kesho Pep ataruhusu tumiliki mpira.
Pep akijichanganya tu atushambulie ama afanye high press amekwisha. Hiyo kitu asije akathubutu kabisa, ule ujinga wa kupeleka wachezaji wote kwenye lango la mpinzani kisha wachezaji wanapigana pasi hapo hapo golini kwako asije akafanya huo ujinga. Najua kabisa Pep amejua namna ya ku deal na sisi ila atapata shida sana hapo kesho.
Nataka goli alizokuambia mganga wakoWewe unataka goli ngapi ..
We unakuaga na moto kabla ya mechi ila mchezo ukiisha unaletaga visingizio kua kilikua kikosi cha pili, mpigie pep mwambie kesho kiwekwe kikos cha kwanza hatutak kisingizio.Kesho aguero hachezi ...
Na kipigo lazima