Pep kesho ataingia uwanjani kwa kujilinda huku akishambulia kwa kushtukiza, nimemsikia akielezea jinsi chelsea inavyo cheza kwa sasa hivyo lazima aingie kwa kujilinda sana. Chelsea tunapata shida sana tukikutana na timu inayo jilinda sana inakuwa ngumu sana kupata goli, Pep alitizama mchezo wetu dhidi ya Villa hivyo lazima aende na ile mbinu. Naona kabisa hapo kesho Pep ataruhusu tumiliki mpira.

Pep akijichanganya tu atushambulie ama afanye high press amekwisha. Hiyo kitu asije akathubutu kabisa, ule ujinga wa kupeleka wachezaji wote kwenye lango la mpinzani kisha wachezaji wanapigana pasi hapo hapo golini kwako asije akafanya huo ujinga. Najua kabisa Pep amejua namna ya ku deal na sisi ila atapata shida sana hapo kesho.
 
Kachezea vichapo Sana Kwa style hyohyo Vs Leicester goli 5, Vs Leeds goli 2, spurs goli 2, nyumbu goli2, Chelsea pia goli 2....
 
Ni kweli but elewa pia bahati ilikuwa upande wetu! Imagine mechi mbili in a row, semi and final stages wapinzani wa Chelsea walikosa penati 4. Si jambo la kawaida. Halafu penati 2 kati ya hizo zilisababishwa na mtu mmoja ambaye pia ndiye magoli yake yalisababisha ubingwa kwa Chelsea, Didier Drogba (The beast!)
Mechi ya kesho, ushindi kwa Chelsea utapatikana kwa bahati ikiwa madogo wataendekeza ujinga wa kukosa magoli ya wazi na pia kuotea mara kwa mara.
Chelsea tunatatizo la umaliziaji ,kushinda Itakuwa bahati sana.
Chelsea nafasi 10 tunaweza kufunga goli 1
Wakati city nafasi 3 anaweza kufunga goli 1

Bahati ipo upande wa Chelsea,
Chelsea winner UCL 2021.
 
Ingekuwa defense na kipa wetu ni tia maji ningekubaliana na hiki ulichoandika hapa.
City na Chelsea wako sawa nyuma na kati, tunatofautiana tu kule mbele, najua mashabiki wanaishi kwa imani zaidi kuliko waumini wa dini, ila mpira ni sayansi, kubahatisha ina nafasi ndogo na ndio hiyo nafasi ndogo kesho tutaitumia
 
Tatizo ni kuwa hatuwezi kufungwa na takataka kama Chelsea mara tatu mfululizo kudadekiii...

Yaan wachezaji wote wapo na moto ...

Mtajuta kuingia uwanjan nyie madogo wa darajani ,

Man city 3- 1chelsea

Come on city
 
  • Kesho ili tushinde, sharti City anyimwe kukaa na mpira hasa katikati na hasa KDB
  • Hata wakiposess sana ila iwe ni kwa mabeki tu
  • Pili Aguero asicheze
  • Tatu, Jorginho asicheze
  • Kante awe kwenye form hasa ile ya RM
  • Kule mbele Werner acheze na Ziyech au Pulisic au Havertz na wawe kwenye form
 
Kesho tuwapige goli ngapi hahaaa

Man city 3- 1 Chelsea
Boss mbona hueleweki, mganga wako amekuambia mnashinda ngapi, mbona kama ana-bahatisha kukupa hiyo idadi ya magoli.? Au mganga wako ni binti malaya kila kitu anadandia tuu.?
 
  • Kesho ili tushinde, sharti City anyimwe kukaa na mpira hasa katikati na hasa KDB
  • Hata wakiposess sana ila iwe ni kwa mabeki tu
  • Pili Aguero asicheze
  • Tatu, Jorginho asicheze
  • Kante awe kwenye form has ile ya RM
  • Kule mbele Werner acheze na Ziyech na wawe kwenye form
Kesho aguero hachezi ...

Na kipigo lazima
 
Tatizo ni kuwa hatuwezi kufungwa na takataka kama Chelsea mara tatu mfululizo kudadekiii...

Yaan wachezaji wote wapo na moto ...

Mtajuta kuingia uwanjan nyie madogo wa darajani ,

Man city 6- 0 chelsea

Come on city
Mechi ya kesho kila timu na kila mchezaji atakuwa tumbo joto. Ni mechi kubwa na timu itakayokuwa na wachezaji watakaotulia na kufanya kama walivyofundishwa ndio watakaoshinda. Panic ndogo tu itasababisha kufungwa. Timu itakayotangulia kufunga hasa kwenye dakika za lala salkama kama kuanzia dk ya 70/80 ndie atakuwa bingwa
 
Pep kesho ataingia uwanjani kwa kujilinda huku akishambulia kwa kushtukiza, nimemsikia akielezea jinsi chelsea inavyo cheza kwa sasa hivyo lazima aingie kwa kujilinda sana. Chelsea tunapata shida sana tukikutana na timu inayo jilinda sana inakuwa ngumu sana kupata goli, Pep alitizama mchezo wetu dhidi ya Villa hivyo lazima aende na ile mbinu. Naona kabisa hapo kesho Pep ataruhusu tumiliki mpira.

Pep akijichanganya tu atushambulie ama afanye high press amekwisha. Hiyo kitu asije akathubutu kabisa, ule ujinga wa kupeleka wachezaji wote kwenye lango la mpinzani kisha wachezaji wanapigana pasi hapo hapo golini kwako asije akafanya huo ujinga. Najua kabisa Pep amejua namna ya ku deal na sisi ila atapata shida sana hapo kesho.
Mkuu Hizo ni mind game akijichanganya kujilinda tu ameisha city hawana wachezaji wa kujilinda hua wanajilinda kwa kukaa na Mpira muda mrefu
 
Kesho muda kama huu tutampongeza/tutamlaumu TT kwa kikosi alichoweka, binafsi ntaenda kuangalia mechi kwa hofu kubwa.

TT amethibitisha uwepo wa Mendy na Kante watakuwepo. Natamani kesho mabeki wawe wanne ili angalau tuongezee ulinzi golini.

London is 💙💙💙
 
Kesho aguero hachezi ...

Na kipigo lazima
We unakuaga na moto kabla ya mechi ila mchezo ukiisha unaletaga visingizio kua kilikua kikosi cha pili, mpigie pep mwambie kesho kiwekwe kikos cha kwanza hatutak kisingizio.

Kama kikos hakina Aguero City wamepotesa.
 
Back
Top Bottom