Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 19,074
- 41,549
Nimeskia final jmosi Kepa atakuwepoNami kiroho safi nimekubali kushindwa. Tukutane next mech naamini kina Zuma na kepa wake watakuwa bench
Nimeskia final jmosi Kepa atakuwepoNami kiroho safi nimekubali kushindwa. Tukutane next mech naamini kina Zuma na kepa wake watakuwa bench
Tukutane ureno nikusokomese kwa mara ya tatu mfulilizo.Zile ziikuwa pumba mkuu ,arsenal kawaonesha Kuwa hawana defence yeyote ...
Chelsea wanacheza kwa morali tu ,hawana uwezo
Mnashangilia goli la zawadi? Kwa hiyo jana Arsenal mmecheza mpira mwingii na mlistahili ushindi. Anyway, hongereni!Tuchel anajua kuwapamba mashabiki wa Chelsea utasikia "Naunda timu itakayoogopwa na wote" kesho yake anapigwa 5 na Westbromwich.
Mara anasema "Hii timu ni ya kuchukua mataji" anaenda kupigwa na Arsenal isiyo stable.
Hziyech22 nilikuambia Liva ilivyokua stable ilichukua ucl, msimu uliofuata ikachukua ligi halafu msimu uliofuata ndiyo ikapigwa 7 na Villa. Thom anasema timu ipo stable ndani ya hiyo wiki anapigwa 5 na Westbromwich.
Pochettino kazi inaelekea kumshinda kule PSG mchukueni huyo.
Timu yenu ni mama huruma inagawa zawadiMnashangilia goli la zawadi? Kwa hiyo jana Arsenal mmecheza mpira mwingii na mlistahili ushindi. Anyway, hongereni!
Siku ya nyani kufa miti yote huteleza!Timu yenu ni mama huruma inagawa zawadi
Kinabo unabana pua umebinua tako unanipa vipande vyangu au siyo?We zumbukuku funga bakuli nenda kwenye uzi wenu.
Mi nazunguka majukwaa ya vinabo kama wewe. Napenda unavyobana puaNyumbu wakutukane, liverkuku wakutukane, city wakutukane, hapa wakutukane.
Hukomii tuu kuzunguka kwenye majukwaa ya wanaume?, hadi upasuliwe puru ndio utakoma?
Nyumbu wakutukane, liverkuku wakutukane, city wakutukane, hapa wakutukane.
Hukomii tuu kuzunguka kwenye majukwaa ya wanaume?, hadi upasuliwe puru ndio utakoma?
Zile ziikuwa pumba mkuu ,arsenal kawaonesha Kuwa hawana defence yeyote ...
Chelsea wanacheza kwa morali tu ,hawana uwezo
TT atazingua knoma kama atamuweka Kepa, lineups ya jana nilishtuka kumuona ila nkajisemea Mendy ana mambo mengi ndo mana kapumzishwa. N bora Kepa acheze mechi zote mbili za ligi kuliko hizo fainali.Kama fainali Keppa atapangwa basi TT hataki kombe.
Kikosi cha kubeba FA & UCL
Pulisic - Werner - Mount
Chilwell - Joginho - Kante - Azipu
Rudger - Thiago - Christensen
----------------Mendy-----------------
Mm kama shabiki wa chelsea nna furaha kufungwa na Arsenal mana mara ya mwisho Arsenal kupata ushindi darajani ni msimu wa 11/12 na huo ndio msimu chelsea alichukua FA na UCL.Utanisema nini, mmefungwa home and away, na bado unapata ujasiri kujitetea!!!
TT atazingua knoma kama atamuweka Kepa, lineups ya jana nilishtuka kumuona ila nkajisemea Mendy ana mambo mengi ndo mana kapumzishwa. N bora Kepa acheze mechi zote mbili za ligi kuliko hizo fainali.
Yah mzee hata mm niliona hy habari, TT anaanza kuzingua aisee maamaeJumamosi Kepa ndio yupo golini
Kepa ndie kaanza game zote za fa, huenda hiyo ndio ikawa sababu.Yah mzee hata mm niliona hy habari, TT anaanza kuzingua aisee maamae
Yah mzee hata mm niliona hy habari, TT anaanza kuzingua aisee maamae
Hapana sio kuzingua, Kepa kwa sasa yuko vizuri. Tusipoteze imani kwa wachezaji wetu namna hiyo, Mendy ana mechi muhimu tarehe 29 acha apumzike.
Yani kuhusu Kepa kuwa golini kwenye hizo fainali 😭😭😭 ngoja niandae kilio tuuKepa ndie kaanza game zote za fa, huenda hiyo ndio ikawa sababu.
Ngoja tuone hiyo jmosi itakuwaje
Ile match ya city tumeshinda mbona alidaka kepa. Match ya nusu fainali FAYani kuhusu Kepa kuwa golini kwenye hizo fainali ngoja niandae kilio tuu