42774277
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 6,835
- 8,874
Eti westbrom na arsenal wametuexpose. Hivi unaelewa unachokiongea kweli?Kufungwa na Arsenal inabidi iwe wake up call.
Atalanta wakati wanapiga watu tano na saba walikua wanatumia formation ya mabeki 3 na Arsenal ilianza na formation hii chini ya Arteta ikaanza vizuri sana.
Kisha mechi zikaanza kupotezwa, str8 up tukajua timu inahitaji kuchange formation. At the same time Atalanta akaanza kufa na kupona.
Tuchel knows kwamba hii formation itafika sehemu itagive in as ni formation ya tournaments kuliko season long campaign, so kuna siku akajaribu 4 2 3 1 dhidi ya underdog fulani hivi, mlisuluhu ile game. Kuanzia pale akaresort na mabeki 3. Westbromwich wakamuexpose, Arsenal imemuexpose.
Tukutane msimu ujao. Nilimuambia shabiki wenu mmoja 'London laughingstock. Sooner'
Narudia na kwako wewe
London laughingstock. Sooner.
Baada ya hao unaowaita westbrom kutuexpose. Tumeshacheza match 11 kwa system ya beki watatu nyuma pamoja na match yenu ndani.
Tumeshinda match 7 tumetoa sare 2 na kufungwa 2.
Hivi unahisi kuna chochote ambacho umeexpose kana kwamba makocha wajao wanaweza wakakitumia kikawa na msaada?
View attachment 1782799
.