Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

images (2).jpeg
 
Mkuu mimi kwa wachezaji wote wa chelsea nimekosa imani na Zuma tu🤪🤪. Kutokana na zile back basi zake.

Zuma akicheza vizuri mechi moja mechi inayofata anaharibu tena sana
Inatakiwa kesho tubebe FA cup ilikusudi Man City tumpatie wakatiguuu Sana tukibeba FA NA UEFA itakua vizuri Sana
 
Naona City anahitaji sana uefa leo pep kapumnzisha wachezaji wengi mno.
 
Kwisha habari yenu sasa mnajikuta manajua kuikazia city ona sasa mnatoka top four ...

Na bado CL Hamna uwezo wa kuchukua ...

FA kesho lecister city anaenda kuwaonesha moto wake ...

Top four Liverpool anachukua nafasi yake...

Polen sana takataka za London kwan arsenal tu ndio mbabe wa London....

Mkuu ebu nenda uokoe timu yako kule. Timu inataka kuchukua UEFA imerusu magoli mawili kwa New Casto kweli kamsaidie Gardiola mbinu ya kupambana na chelsea
 
Mkuu ebu nenda uokoe timu yako kule. Timu inataka kuchukua UEFA imerusu magoli mawili kwa New Casto kweli kamsaidie Gardiola mbinu ya kupambana na chelsea
Sisi tumeshamalizana na league tayari hizo game wanacheza wastaf na wa city

Kama mnacompare hiki kikosi na uefa ,nawambia hivi mmekwishaaa tayar ...

Pep anajua anachofanya ,subili mtaiona the cityzen halisi may 2021 kudadeeeek
18mcfc94-20210515-0001.jpg
 
Sisi tumeshamalizana na league tayari hizo game wanacheza wastaf na wa city

Kama mnacompare hiki kikosi na uefa ,nawambia hivi mmekwishaaa tayar ...

Pep anajua anachofanya ,subili mtaiona the cityzen halisi may 2021 kudadeeeek
View attachment 1785297
Zile mechi tulizowagonga Pep alipoteza makusudi kwa sababu anajua anacho fanya.

Nakuonea huruma unavyotapa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom