Tutakosa kama arsenal atakuwa top fourEndeleeni kujifariji, mara paa.. mnakosa kombe la UEFA na top four haumuingii.
Naomba utukumbushe hiyo game ambayo tuchel alitumia 4231 ilikuwa dhidi ya tim ipiKufungwa na Arsenal inabidi iwe wake up call.
Atalanta wakati wanapiga watu tano na saba walikua wanatumia formation ya mabeki 3 na Arsenal ilianza na formation hii chini ya Arteta ikaanza vizuri sana.
Kisha mechi zikaanza kupotezwa, str8 up tukajua timu inahitaji kuchange formation. At the same time Atalanta akaanza kufa na kupona.
Tuchel knows kwamba hii formation itafika sehemu itagive in as ni formation ya tournaments kuliko season long campaign, so kuna siku akajaribu 4 2 3 1 dhidi ya underdog fulani hivi, mlisuluhu ile game. Kuanzia pale akaresort na mabeki 3. Westbromwich wakamuexpose, Arsenal imemuexpose.
Tukutane msimu ujao. Nilimuambia shabiki wenu mmoja 'London laughingstock. Sooner'
Narudia na kwako wewe
London laughingstock. Sooner.
42774277
3 5 2 ni nzuri kwa tournaments za muda mdogo.
Kwa kampeni ndefu zinazokuhitaji uwe sehemu nyingi siyo formation reliable.
Tuchel alijaribu formation nyingine akanotice haiwezi, so next season atahama formation
Kwahiyo next season asipohama formation hii screenshot yako itabidi iwe extended coz loss zitakua ndefu pia.
Vitu vyepesi unashindwa kuvielewa.
Una kaubishi fulani hivi cha kimiyeyushoNaomba utukumbushe hiyo game ambayo tuchel alitumia 4231 ilikuwa dhidi ya tim ipi
Siwezi mlinganisha na Arteta.Conte aliitumia msim mzima hiyo Formation na bado akachukua ubingwa
Shida bwana Castr unamlinganisha tuchel na Arteta, kwa kuwa unahisi arteta alishindwa ndio unahisi na tuchel atashindwa,
Arteta bado sana katika ukocha, kumlinganisha tuchel na arteta ni dharau hizo
Unahisi kwa kuwa arteta ameshindwa msim unahis hadi tuchel na yeye atashindwa msim ujao, hayo ni makosa, unaishi kwa kukariri
Kocha huwa anahukumiwa kwa matokeo ya wakati huo na siyawakat ujao ambao hatujui kama tutakuwepo au ataperform vipi
Wakat wa december liver alikuwa anaongoza ligi na city alikuwa wa 8 kama sijakosea ila yaliyotokea baada ya hapo unayafaham,
Kuhisi msim ujao tuchel ataperform vibaya wakat hata msim wenyewe haujaanza na hujui plan yake ya msim ujao ikoje, tuwe na akiba ya maneno
Bro sijaleta ubishi, ndio maana nimeomba unikumbushe, ili tuwe katika same pageUna kaubishi fulani hivi cha kimiyeyusho
Halafu hiyo anamrudishia Jorginmho ni mara yta tatu au nne, hata si angetoa nje baada ya kuona pressing imekuwa kubwa. Foolish ZoumaKweli Zouma hakumuona Glimour, Keppa na ChilwellView attachment 1782852
Wao wanatumia Back 3 wanapigwa mtungo kika siku wanaona kama ndio kila mtu yupo hivo.Wapi alikuambia hatafungwa akikamilisha kuunda timu? Leta evidence hapa.Mara back three sio kwa ajili ya ligi conte anamakombe mangapi na back three ? Wewe ni jobless unayetafuta story za kusogeza masaa
Utakuwa liva wewe. Nenda man u akakukaange leo kwanza. Hivi unajua chelsea akishinda match moja anabaki top 4?Endeleeni kujifariji, mara paa.. mnakosa kombe la UEFA na top four haumuingii.
Unauhakika tulipark bus kwa madrid? Lete statistics hapa.Kwa hiyo magoli mengine huwa siyo error si nawe mchambuzi mhuni tu.Mbona nanyi mlipaki kwa madrid
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Zile ziikuwa pumba mkuu ,arsenal kawaonesha Kuwa hawana defence yeyote ...Wakuu si tulikubaliana hakuna anayeweza ku UNLOCK defence ya Chelsea
Au neno "UNLOCK" limepoteza maana.
Mkuu Pain killer, njoo uone
![]()
Nyie mbuzi mnajua kelele tu, nyie ni wateja wetu
Maoni yangu
"Tumepoteza lakini hatukua dhaifu,
mpira tumecheza sana, na pia nafasi tumetengeneza (offside goal, 2 post hit, v pass na block alizofanya mari),,
Goli tulilofungwa pia sio laa kimbinu, ni makosa tu ya wachezaji..
Na pja arsenal walikua tayari hata kwa droo,, they defend with their life"
Sikutarajia tushinde gemu zote zilizobaki hasa fixture yenyewe ilivyokua ngumu..
Naamini ni mwanzo wa kurudi vizuri zaidi kwenye gemu zilizobaki.