2012: We played Liverpool in the FA cup final and played them in the league the following week and it was a mid week fixture on Wednesday at home
2021: we’ll be playing Leciester in the FA cup final and we’ll be playing them during the week as well on Wednesday at home.

We lost the league match before the FA cup final in 2012 (Newcastle) (Peter from rennes, 29ages) and in 2021 we lost the league (arsenal) (Mendy from rennes, 29ages)

Last time Luka Modric score 4 league goals was 2012, He has scored 4 this season 2021
okay kachukue CL mkuu
 
Wakati mnachukua CL hiyo 2012 hamkumaliza top 4 mbona huongeleii hio ..

Mnaandika historia za kikuda tuu kutegemea kuchukua CL duuuu

ila naona mkiondoka top 4 liverpool anakuja hapo ...!

Vs lecister city

Vs lecister city

Vs aston villa

Ndio fixture yenu ..

Kudadadeeeeeek mmekwishaaa tayariiii
 
Mi kwa kweli sioni kosa la Kepa, kepa alikaa sehemu nzuri y kupewa pasi ili akiipokea isiwe shida kwake. Aliefanya kosa ni zouma mana hata Gilmor alimnyoosea kidole kuwa ampe pasi Chiwell yeye kw upumbavu wake akarudsha kw Joginho, Joginho nae pia ni mzigo mwingine anatoaje pasi bila kuangalia.
 
Maoni yangu

"Tumepoteza lakini hatukua dhaifu,
mpira tumecheza sana, na pia nafasi tumetengeneza (offside goal, 2 post hit, v pass na block alizofanya mari),,

Goli tulilofungwa pia sio laa kimbinu, ni makosa tu ya wachezaji..
Na pja arsenal walikua tayari hata kwa droo,, they defend with their life"

Sikutarajia tushinde gemu zote zilizobaki hasa fixture yenyewe ilivyokua ngumu..

Naamini ni mwanzo wa kurudi vizuri zaidi kwenye gemu zilizobaki.
Kwa form ya Chelsea ya Tuchel hatukucheza vizuri, Hata Tuchel mwenyewe kakiri. Kasema wachezaji hawakuwa sharp, pia chances nyingi bila goli, on target nyingi bila goli ni kiashiria cha kutokuwa clinical. Ile game haikuwa nzuri kabisa tulichoweza ni kumiliki mpiura sana na back passes za akina Zouma. Kama nilivyosema TT sio kama FL, akifungwa moja anapiga 7 hadi 8 bila kufungwa. Mechi zilizobaki point 6 tunakamilisha mahesabu ya point 70
 
Mi kwa kweli sioni kosa la Kepa, kepa alikaa sehemu nzuri y kupewa pasi ili akiipokea isiwe shida kwake. Aliefanya kosa ni zouma mana hata Gilmor alimnyoosea kidole kuwa ampe pasi Chiwell yeye kw upumbavu wake akarudsha kw Joginho, Joginho nae pia ni mzigo mwingine anatoaje pasi bila kuangalia.
Hakutakiwa kukaa nje ya goli unless kapewa mpira, alikaa a very dangerous location. Tuseme hata Zouma angeamua kumpasia huo mpira pembeni mwa goli akishiundwa mpira ungetoka koan na usingekuwa na mazara. Kazi ya Kipa ni kulinda goli, je huko alikokaa alikuwa analinda nini. Je yeye LB au Kipa?
 
Mi kwa kweli sioni kosa la Kepa, kepa alikaa sehemu nzuri y kupewa pasi ili akiipokea isiwe shida kwake. Aliefanya kosa ni zouma mana hata Gilmor alimnyoosea kidole kuwa ampe pasi Chiwell yeye kw upumbavu wake akarudsha kw Joginho, Joginho nae pia ni mzigo mwingine anatoaje pasi bila kuangalia.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Kepa match zote alizodaka chini ya Tuchel amejitahidi sana.
 
Wakati mnachukua CL hiyo 2012 hamkumaliza top 4 mbona huongeleii hio ..

Mnaandika historia za kikuda tuu kutegemea kuchukua CL duuuu

ila naona mkiondoka top 4 liverpool anakuja hapo ...!

Vs lecister city

Vs lecister city

Vs aston villa

Ndio fixture yenu ..

Kudadadeeeeeek mmekwishaaa tayariiii
Ndo mana ikaitwa historia kumaanisha mambo yaliyopita, vipi lakini hiyo trh 29 utatoboa.?
 
Wakati mnachukua CL hiyo 2012 hamkumaliza top 4 mbona huongeleii hio ..

Mnaandika historia za kikuda tuu kutegemea kuchukua CL duuuu

ila naona mkiondoka top 4 liverpool anakuja hapo ...!

Vs lecister city

Vs lecister city

Vs aston villa

Ndio fixture yenu ..

Kudadadeeeeeek mmekwishaaa tayariiii
Kuna jambo lingine umelisahau ngoja nkukumbushe

Baada ya kuchukua FA na UCL, mwezi wa 10 Di Mateo alifukuzwa kazi, vipi unataka tuseme TT nae atafukuzwa kazi.?

Chelsea is 🔵🔵🔵
🔵🔵🔵 Is our color
 
Basi na kesho ajitahidi kumalizia vizuri. Tutafarijika zaidi nisingependa kuona anabeba lawama.
Kepa under TT sio mbaya, hana presure ila kwqa nini turisk ki hivyo na kuweka viroho vyetu juu juu?
Akae Mendy golini, mechi zote zilizobaki ni muhimu sio wakati wa kumjaribu mcherzaji, hata akina Zouma wasicheze hizi mechi zilizobaki, wasubiri Karabao na Fa hatua za mwanzoni mwakani
 
Kuna jambo lingine umelisahau ngoja nkukumbushe

Baada ya kuchukua FA na UCL, mwezi wa 10 Di Mateo alifukuzwa kazi, vipi unataka tuseme TT nae atafukuzwa kazi.?

Chelsea is 🔵🔵🔵
🔵🔵🔵 Is our color
Kama Chelsea itaanza msimu vibaya atafukuzwa hiyo iko wazi
 
Kante n kovacic wote wako fit, tuchel amethibitisha leo
Na kepa ataanza kesho
Kante, Kova na Christensen wako wote fit ila kuanza ni 50/50 kwa sababu field fitness issue
Uamuzi wa mwisho huwa ni wa kocha baada ya mazoezi ya leo hadi kesho kabla ya mechi

1621003864779.png
 
Kwisha habari yenu sasa mnajikuta manajua kuikazia city ona sasa mnatoka top four ...

Na bado CL Hamna uwezo wa kuchukua ...

FA kesho lecister city anaenda kuwaonesha moto wake ...

Top four Liverpool anachukua nafasi yake...

Polen sana takataka za London kwan arsenal tu ndio mbabe wa London....
 
Naamini Chelsea ata shida kombe la FA na UEFA

Umeshindwa kuficha hisia zako ukaamua kuisifia timu yako ya zamani.
 
Back
Top Bottom