Mtangoo
JF-Expert Member
- Oct 25, 2012
- 6,167
- 5,602
Pepe ni hatari. Naongelea Pepe wa Porto 🤣Haya maneno amwambie leo Pepe
Sisi mashabiki wa Porto tunasema hafagiliwi mtu hapa
Pepe ni hatari. Naongelea Pepe wa Porto 🤣Haya maneno amwambie leo Pepe
Sisi mashabiki wa Porto tunasema hafagiliwi mtu hapa
Ronaldo anayo habari yakePepe ni hatari. Naongelea Pepe wa Porto 🤣
Hii possession 60% haitusaidii sisi Porto. Tunarudi kusaka magoli sasa
Hii second half ni ya kumtoa Tuchel jasho. Sisi Porto hatuna cha kupoteza ni all out warMkuu pamoja na kutusaka lakini hamkubahatika kupata hata moja ontegert.
Lets see second 45minutes
Bado wenzenuView attachment 1751336
Mimi bado na ninaamini Slavia haponiMkuu kwan wewe umeshakuolifai?
Ila hongera nakuombea upige hiyo hela
Wangesawazisha hampigiani matuta mnaenda kwanza extra time.FT
Chelsea vs Port 0-1 on Aggregate 2-1
Goli la kiufundi sana la Taremi, sijui kocha kwa nini hakumpanga huyu mchawi tangu mwanzo, sio ajabu wangesawazisha tupigiane matuta
Kutokuwepo kwa kovacic game ya city ni pengo kubwa sanaNext game ni Chelsea vs Man City.
Tayari ktk UEFA tumemaliza kz tunamsubiri Madrid au Liverpool. Sasa kz kubwa imebaki ni kuichabanga Man City tuingie fainali.
Ila nisingependa kuona approach ya huo mchezo km ya Jana. Jana ile approach haikua nzuri kabisa maana tuliwaruhusu sn Porto kutawala na tukabaki kuvizia counter attacks tu ambazo hazikupatikana.... Tunatakiwa siku ya Man City tucheze ule mpira wetu tumiliki mpira na kushambulia
Pulisic kachezewa sn rafu leo... Yaani kila akitembea na mpira wanamla.
Leo approach ya TT ilikua ni kutunza zile goli mbili za game ya kwanza na kutunza nguvu za wachezaji kwa ajili ya game ya jumamosi dhidi ya Man City maana Naona ndio game kocha anayo ifikiria na hivi saizi anasema wazi kabisa kua anataka makombe na muda kushinda makombe ndio huu. Na makombe yaliyopo yanayo zagaa ndio hayo sasa la UEFA na FA... Jmosi tumpige city tutangulie zetu fainali
Japo jana Kante hakuwa fit kwa sababu ya majeruhi ila combination ya Jorginho na Kante huwa haikubali sijui shida ni nini. Kovacic akicheza na Kante au Jorginho katikati inatulia, lakini Jorginho na Kante wakicheza huwa tunazidiwaNext game ni Chelsea vs Man City.
Tayari ktk UEFA tumemaliza kz tunamsubiri Madrid au Liverpool. Sasa kz kubwa imebaki ni kuichabanga Man City tuingie fainali.
Ila nisingependa kuona approach ya huo mchezo km ya Jana. Jana ile approach haikua nzuri kabisa maana tuliwaruhusu sn Porto kutawala na tukabaki kuvizia counter attacks tu ambazo hazikupatikana.... Tunatakiwa siku ya Man City tucheze ule mpira wetu tumiliki mpira na kushambulia
Mimi bado na ninaamini Slavia haponi
Kovacic bado hajafanyiwa tathmini ya majeruhi, naomba isiwe seriousKutokuwepo kwa kovacic game ya city ni pengo kubwa sana
Next game ni Chelsea vs Man City.