2011 Messi akiwa takriban karibu na umri wa Pulisic kwenye UCL dhidi ya Real Madrid alifanyiwa rafu 11 zilizoonwa na refa na Jana Pulisic baada ya takriban miaka 10 ya Messi kuvunja hiyo rekodi, alifikisha kiwango hicho cha kushinda mipira ya faul mara 11 zilizoonwa na refa kama Messi wa 2011. Hii kiwango kikubwa sana kwa michuano ya UEFA kwa mchezaji mmoja kuchezewa rafu nyingi kama hizo.
 

Man of the Match: Christian Pulišić (Chelsea)

Pulišić highlights and reaction
"A very dynamic performance all over the pitch. He was a constant danger to Porto and also had a good defensive mentality."

Cosmin Contra, UEFA Technical Observer
 
2011 Messi akiwa takriban karibu na umri wa Pulisic kwenye UCL dhidi ya Real Madrid alifanyiwa rafu 11 zilizoonwa na refa na Jana Pulisic baada ya takriban miaka 10 alifikisha kiwango hicho cha kushinda mipira ya faul mara 11 kama Messi wa 2011 na kufanya kuwa kiwango kikubwa kwenye michuano ya UCL mchezaji mmoja kufanyiwa rafu 11 zilizoonwa na refa
Waamuzi sasa wanatakiwa kumlinda sn Pulisic maana anachezewa rafu sn


Yaani ktk rafu 20 za timu nzima walizocheza 11 zilikua kwa Pulisic tu. Hii si sawa kabisa
 
Matokeo ya awali
Liverpool vs Real Madrid 0-0 on Agg 1-3 Real Madrid anasonga mbele kwenye nusu finali
Dortmund vs Man City 1-2 on Agg 2-4 Man City anasonga mbele kwenye nusu finali

Nusu Finali itakuwa kama Ifuatavyo
Real Madrid vs Chelsea
PSG vs Man City
 
Matokeo ya awali
Liverpool vs Real Madrid 0-0 on Agg 1-3 Real Madrid anasonga mbele kwenye nusu finali
Dortmund vs Man City 1-2 on Agg 2-4 Man City anasonga mbele kwenye nusu finali

Nusu Finali itakuwa kama Ifuatavyo
Real Madrid vs Chelsea
PSG vs Man City
Dortmund vs Man City FT 1-2
 
Nawakumbusha tu

Liverpool vs Real Madrid 0-0 on Agg 1-3 Real Madrid anasonga mbele kwenye nusu finali
Dortmund vs Man City 1-2 on Agg 2-4 Man City anasonga mbele kwenye nusu finali

Nusu Finali itakuwa kama Ifuatavyo tarehe 27 April and 4 May 2021
Real Madrid vs Chelsea
PSG vs Man City
 
IMG_8001.jpg
 
Tarehe 17 Man City vs Chelsea.


Tarehe 27 Madrid vs Chelsea.

Hizi game mbili kubwa ni kipimo kikubwa sn kwa Thomas Tuchel alafu zote ni game za nusu fainali.

Mpk kufikia hii hatua ni mafanikio makubwa sn Thomas Tuchel. Na pia km atafaulu kufika fainali ktk game zote mbili itakua poa sn
Tarehe 17 Man City vs Chelsea.??
 
Back
Top Bottom