Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

lembu

JF-Expert Member
Dec 31, 2009
6,351
2,000
Chelsea game ijayo na Porto wanapaswa kucheza na viungo watatu. Maana kwa viungo wawili hawa Porto wanaweka marking kubwa sn kiasi wanashindwa kuchezesha mipira na inabidi Chelsea itumie sn kucheza pembeni.

Game ijayo Kante na Jorginho na Kovacic wote hawa waanze alafu Giroud na Meson Mount hawa wakae huko mbele tu.

Alafu huku nyuma wabaki hivyo hivyo km alivyo panga Leo maana Porto ktk game ijayo watakuja wakali sn na wana kasi na mbinu na movu za hatari.
Pia wachezaji wao hatari watacheza second leg ambao ni Sérgio Oliveira na Mehdi Taremi.

Lakini mimi siamini kama wote watatu wakicheza ndio tutakuwa solid, kumbuka kuna chemistry na hao watatu sidhani kama wana chemistry nzuri
Hii hii formation ya 3-4-3 ni nzuri kwa sababu ni flexible, timu ikizidiwa inaweza kuswitch kwenye 5-2-3 au 5-3-2
Giroud ni mfungaji mzuri lakini hasumbui backline ya maadui kama Werner
Werner sio mfungaji mzuri kwa sasa lakini anasumbua backline kwa mbio zake
naamini hii squad itatuletea magoli zaidi na wala sio droo

Werner

Mount ---------------------------------------------------------------Ziyech

Chilwell-----------Kovacic --------------------------------------Kante--------------James

Rudiger ------------------- Silva ------------------ Azpilicueta

Mendy

Note: Kule mbele Giroud aingie sub ya Werner, Pulisic sub ya Ziyech na Mound ahamie Kulia
Nyuma acheze Christensen au Silva sawa
 
Antonio Conte

JF-Expert Member
Dec 6, 2017
700
1,000

Mimi naamini km tutatumia viungo watatu timu itakua imara zaidi maana Jana nimeliona hilo baada ya Kante kuingia na tukawa na viungo watatu timu ikawa imara sn na ghafla tukawa tumewasukuma kabisa Porto nyuma.

Ninacho kifikiria sn kwa Madrid ni wale viungo wao watatu wasumbufu hapo kati. Maana hawa viungo wao hasa Tony Kloose na Modric hawa kwa kutoa pasi hawa ni hatari sn. Wanacheza pass fupi na ndefu na accuracy ya passes zao iko juu.

Kwahiyo tunatakiwa kua wagumu sn na imara sn. Sasa Hii twin six inabidi kuiongezea nguvu kidogo otherwise km Mason Mount atacheza nyuma ya striker basi atawajibika sn kuja kuwasaidia viungo wa kati
 
Kutumia viungo watatu maana yake tutumie 4-3-3 hii formation kwa wachezaji tulionao tuna experience mbaya
Jana kilichofanya tusumbuliwe ni ile ile ya westbrom
Jorginho na Kovacic hawafanyi combi nzuri kabisa, pale katikati hata akikaa Kante peke yake anatosha kutuliza fujo
Bado mimi naamini Kova na Kante wakicheza midle itatulia, dawa ya kujihami kwenye second leg ni kuwafunga kama tulivyowafunga jana. Tukifanya mistake ya kujihami tutafungwa mengi sana kwa sababu bacline yetu ikilemewa huwa inafanya mistake nyingi kama ilivyofanya kwa westbrom.

Ushauri: Second Leg Jorgninho asicheze kabisa labda kama Kante au Kova kaumia
 
ryana fan

JF-Expert Member
Apr 27, 2018
1,764

Nakuunga miguu yote
 
Wala haihitaji tucheze huo mfumo wa 4+3+3. Hapana tunachotakiwa ni kucheza mfumo wetu huo huo wa 3+4+3 lkn sasa Mason Mount acheze sambamba na Striker huko mbele yaani km Striker atakua Timo basi asaidiane na Mount na nyuma ya hawa sasa ndio acheze Kovacic ktk nafasi ambayo huwa anacheza Mount.

Alafu ktk twin six ndio Kante na Jorginho wakae hapo maana Kante anaweza kwenda mbele na kurudi kukaba na na Kovacic nae anaweza kwenda mbele kushambulia na kuja kusaidia dimba la kati. Wakati huo Jorginho acheze mbele ya mabeki wa kati asiwe Anapanda sn mbele maana hana kasi ya kukimbia. Akikaa nyuma atakua na nafasi ya kutawanya mipira kwa nafasi zaidi awezavyo popote pale. Mfumo ni ule ule lkn huko mbele hawa kina Kai wakae benchi na nafasi yake acheze Mount ili kuweza kuweka viungo watatu hapo kati.
 
Yaani unaweza kusema mfumo unakua 3+5+2

Mabeki wa nyuma ni Azpilicueta, Christiansen na Rudiger,

Wingbacks na Mids ni James, Kante, Jorginho, Kovacic na Ben.

Alafu huko mbele sasa kwa hao wawili ni

Mount na Timo.

Hii itatupa nguvu sn kuwasumbua adui hasa hawa Porto na ata Madrid pia.

Tuanze kuiacha Twin six tucheze na Utatu hapo
 
42774277

JF-Expert Member
Aug 24, 2018
3,310
2,000
Wala haihitaji tucheze huo mfumo wa 4+3+3. Hapana tunachotakiwa ni kucheza mfumo wetu huo huo wa 3+4+3 lkn sasa Mason Mount acheze sambamba na Striker huko mbele yaani km Striker atakua Timo basi asaidiane na Mount na nyuma ya hawa sasa ndio acheze Kovacic ktk nafasi ambayo huwa anacheza Mount.

Alafu ktk twin six ndio Kante na Jorginho wakae hapo maana Kante anaweza kwenda mbele na kurudi kukaba na na Kovacic nae anaweza kwenda mbele kushambulia na kuja kusaidia dimba la kati. Wakati huo Jorginho acheze mbele ya mabeki wa kati asiwe Anapanda sn mbele maana hana kasi ya kukimbia. Akikaa nyuma atakua na nafasi ya kutawanya mipira kwa nafasi zaidi awezavyo popote pale. Mfumo ni ule ule lkn huko mbele hawa kina Kai wakae benchi na nafasi yake acheze Mount ili kuweza kuweka viungo watatu hapo kati.
Hakuna match waliyocheza viungo hao watatu na ikawork out.
 
Stefano Mtangoo

Verified Member
Oct 25, 2012
4,663
2,000
Mbona nyinyi mlivyopigwa tano mlisema refa ni wa West Brom?😂 Mtuache Porto tutafute visingizio.
Hahahaaa, you're so funny buddy.
Porto walipiga mpira, sema tu walizidiwa kwenye kutumia makosa yetu. Wao walipata nafasi nyingi sana na hawakutumia makosa yetu ipasavyo. Sisi tulipata nafasi tukazitumia. Na ndio mpira ulivyo.

Wajipange tu. Ila Sergio ni kocha mzuri atafika mbali sana!
 
Castr

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
21,258
2,000
Hahahaaa, you're so funny buddy.
Porto walipiga mpira, sema tu walizidiwa kwenye kutumia makosa yetu. Wao walipata nafasi nyingi sana na hawakutumia makosa yetu ipasavyo. Sisi tulipata nafasi tukazitumia. Na ndio mpira ulivyo.

Wajipange tu. Ila Sergio ni kocha mzuri atafika mbali sana!
Sioni maajabu ya Juve kutokea. Mmeshapita.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom