Wote mmetoweka kwenda kubana kengele ili tusiwapige goli. Mmetubaniiiiiia mbona West Brom mmewaachia? Mara tano
 
FT
Chelsea vs Port 0-1 on Aggregate 2-1
Goli la kiufundi sana la Taremi, sijui kocha kwa nini hakumpanga huyu mchawi tangu mwanzo, sio ajabu wangesawazisha tupigiane matuta
 
Bado wenzenu
IMG_20210413_235754.jpg
 
Pulisic kachezewa sn rafu leo... Yaani kila akitembea na mpira wanamla.

Leo approach ya TT ilikua ni kutunza zile goli mbili za game ya kwanza na kutunza nguvu za wachezaji kwa ajili ya game ya jumamosi dhidi ya Man City maana Naona ndio game kocha anayo ifikiria na hivi saizi anasema wazi kabisa kua anataka makombe na muda kushinda makombe ndio huu. Na makombe yaliyopo yanayo zagaa ndio hayo sasa la UEFA na FA... Jmosi tumpige city tutangulie zetu fainali
 
FT
Chelsea vs Port 0-1 on Aggregate 2-1
Goli la kiufundi sana la Taremi, sijui kocha kwa nini hakumpanga huyu mchawi tangu mwanzo, sio ajabu wangesawazisha tupigiane matuta
Wangesawazisha hampigiani matuta mnaenda kwanza extra time.
 
Pulisic Jana alichezewa rafu 11 yeye peke yake ktk jumla ya rafu 20 walizocheza jana fc Porto.

Na kadi 5 zote walizopews fc Porto Jana zote zilitokana na wachezaji wa Porto kumchezea Rafu Pulisic.

Huyu mchezaji anatakiwa kulindwa sn na waamuzi.

Chelsea ndio timu pekee ktk timu za England kuingia Mara 8 ktk nusu fainali. Hakuna timu yoyote England imeweza kuingia fainali mara nyingi km Chelsea.
 
Next game ni Chelsea vs Man City.

Tayari ktk UEFA tumemaliza kz tunamsubiri Madrid au Liverpool. Sasa kz kubwa imebaki ni kuichabanga Man City tuingie fainali.

Ila nisingependa kuona approach ya huo mchezo km ya Jana. Jana ile approach haikua nzuri kabisa maana tuliwaruhusu sn Porto kutawala na tukabaki kuvizia counter attacks tu ambazo hazikupatikana.... Tunatakiwa siku ya Man City tucheze ule mpira wetu tumiliki mpira na kushambulia
 
Kutokuwepo kwa kovacic game ya city ni pengo kubwa sana
 
Pulisic kachezewa sn rafu leo... Yaani kila akitembea na mpira wanamla.

Leo approach ya TT ilikua ni kutunza zile goli mbili za game ya kwanza na kutunza nguvu za wachezaji kwa ajili ya game ya jumamosi dhidi ya Man City maana Naona ndio game kocha anayo ifikiria na hivi saizi anasema wazi kabisa kua anataka makombe na muda kushinda makombe ndio huu. Na makombe yaliyopo yanayo zagaa ndio hayo sasa la UEFA na FA... Jmosi tumpige city tutangulie zetu fainali

God is Good. Tujipongeze kwanza kwa Kuquolifai hatua ya nusu fainali since 2012 baada ya kubeba Champion Legue.

Naamini kocha atapanga kikosi imara kumkabili Gardiola. Tho kwasasa naona wachezaji wote wako imara kwa chochote.
 
Next game ni Chelsea vs Man City.

Tayari ktk UEFA tumemaliza kz tunamsubiri Madrid au Liverpool. Sasa kz kubwa imebaki ni kuichabanga Man City tuingie fainali.

Ila nisingependa kuona approach ya huo mchezo km ya Jana. Jana ile approach haikua nzuri kabisa maana tuliwaruhusu sn Porto kutawala na tukabaki kuvizia counter attacks tu ambazo hazikupatikana.... Tunatakiwa siku ya Man City tucheze ule mpira wetu tumiliki mpira na kushambulia
Japo jana Kante hakuwa fit kwa sababu ya majeruhi ila combination ya Jorginho na Kante huwa haikubali sijui shida ni nini. Kovacic akicheza na Kante au Jorginho katikati inatulia, lakini Jorginho na Kante wakicheza huwa tunazidiwa
 
Next game ni Chelsea vs Man City.

Tayari ktk UEFA tumemaliza kz tunamsubiri Madrid au Liverpool. Sasa kz kubwa imebaki ni kuichabanga Man City tuingie fainali.

Ila nisingependa kuona approach ya huo mchezo km ya Jana. Jana ile approach haikua nzuri kabisa maana tuliwaruhusu sn Porto kutawala na tukabaki kuvizia counter attacks tu ambazo hazikupatikana.... Tunatakiwa siku ya Man City tucheze ule mpira wetu tumiliki mpira na kushambulia

For sure. Jana poto wangekuwa makini na zile shambulizi zake basi tungeumia au tungebaki kushika viuno tu baada ya mechi. But yote kheri naamini kocha amelitazama hilo
 
Back
Top Bottom