Mtangoo
JF-Expert Member
- Oct 25, 2012
- 6,167
- 5,602
Pole sana ndugu kwa kuuguza.Nakubali sana damu yangu. Utanipa updates mimi aitaangalia nauguliwa na mzee wangu tuko hospitali.
Best wishes The Blues

Hakuna haja ya mambo kama haya hapa. Kama amekosea sehemu si unakosoa kistaarabu tu? Michezo furaha. Hakuna haja ya kupaniki na kukasirikaushabiki ugoro
Hata Salah mweny uzoefu na ligi hajafikisha magoli 20 huyu Werner tunampa pressure ila wakati wake bado nadhani.Hivi Timo Werner angefunga nafasi zote alizozikosa ingekuwaje. Kwa sasa angekuwa kwenye magoli 20+
Ahsante mkuu.Pole sana ndugu kwa kuuguza.
Hope mgonjwa anaendelea vyema!Ahsante mkuu.
Yeah kwa sasa anaendelea vizuri tuHope mgonjwa anaendelea vyema!
Pra onde?Vamos chelsea
Wewe jiandae kuachia nafasi yangu nilikupa kwa muda mwenyewe nimerudi.Ndio game yenu ya mwisho kupata ushindi hii.
Mutapoteana kama game 3 hivi, ndio mutashinda tena.
#Mganga kutoka Nyaminywiri#
Ushafeli sasa. Uganga tena? Mganga Matomola umefeli aisee!Ndio game yenu ya mwisho kupata ushindi hii.
Mutapoteana kama game 3 hivi, ndio mutashinda tena.
#Mganga kutoka Nyaminywiri#
Hii discipline ya hatari. Kuna la kujifunza hapa kwenye maisha yetu ya mtaani huku...What did Tuchel say about Kovacic?
"I love him," Tuchel told the 5th Stand. "You can wake him up at 3 a.m. and he will be ready to train at Cobham at 3:15."
nanj amekasirika?, asiambiwe ukweli!Hakuna haja ya mambo kama haya hapa. Kama amekosea sehemu si unakosoa kistaarabu tu? Michezo furaha. Hakuna haja ya kupaniki na kukasirika
Ignore list grown by 1, bye!nanj amekasirika?, asiambiwe ukweli!
Lin zouma kacheza mkuuu zych fundi ila wote wanatakiwa kuchezaNdani ya muda mfupi viwango vya wachezaji vinaanza kuamka tena
Wachezaji hawa hata kama form yao haijashuka ila mfumo wa Tuchel ni kama unawatema
- Kepa - ameonyesha dalili ya kiwango chake kuamka kwenye mechi mbili alizocheza
- Rudiger - amerudi kwenye form baada tu ya Lampard kuachia ngazi
- Kovacic - yuko kwenye peak form tangu Tuchel achukue usukani
- Jorginho, kule kuchoka kwake na rafu nyingi haziko tena amerudi kwenye ubora wake
- Timo Werner, hii haitaki ubishi, Timu amefufuka, yule mnyama mla nyavu kutoka Leipzig kaanza kula nyavu kama kawaida yake
- Odoi, sio siri, ameendana kabisa na falsafa ya Tuchel na tutegemee makubwa kutoka kwa Odoi kipindi hiki cha Tuchel
- Ben Chillwell - Tuchel naona amependa mfumo wa Conte wa back 5 badala ya back 4 na kwa hiyo Chilwell atasubiri sana Alonso apate majeruhi au mfumo ubadilishwe
- Kante - Kwa partnership ya Kovacic na Jorginho ilivyotick, Kante naye atasubiri sana labda Tuchel abadili aweke formation ya Kante
- Reece James nafasi yake naona kama Odoi anainyemelea labda Tuchel atumie backline ya 4
- Mendy itabidi tu akubali kushiriki mema ya nchi na Kepa
- Ziyech, Zouma, Pulisic na Havertz wanachotakiwa waonyeshe wamerudi kwenye form kwa dakika chache watakazopewa
Kante anafaa acheze na dm mwingine ila sio wenye style ya jorginhoNdani ya muda mfupi viwango vya wachezaji vinaanza kuamka tena